Rostam atakiwa kulipa kodi ya billion aliyefanya tathimini afukuzwa kazi baada ya kukataa kudanganya

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Hizi ni habari za masikitiko makubwa ambazo zinaonyesha nguvu ya mafisadi inavyofanya kazi hapa Tanzania, tathimini inaonyesha rostam alitakiwa kulipa billion 1 kama kodi lakini kilichotokea ni afisa mhusika aliyafanya hiyo tathimini kafukuzwa kazi baada ya kukubali kufia nchi.
More details willn be made available soon.
 
Rostam ana biashara/sughuli nyingi, alitakiwa kulipa kodi ya biashara zipi.

Elewa kuwa.
Bilioni haitajwi yenyewe, inaanzia Bilioni 1 - 900,

Fungua mabano

Ni nani walikwenda kumfanyia hizo tathmini unazozisema? Ni Ofisi ya mkaguzi mkuu au kampuni binafsi ilipewa tender e.d PWC, Deloit etc.

How?
How soon? Soonest early? soonest possible? or soon later?
 
Si kama nataka kuidharau post yako, lakini mMkuu haujatutendea haki. Wewe ndiye mwenye taarifa hizi, ingekuwa vema iwapo ungekusanya taarifa na kupata kitu kilichokamilika ili ujen utulishe wenzako hapa. Hizi habari za kuleta nusu nusu, zikiwa kama tetesi ambazo hazina uthibitisho, si tu zinakufanya mtoa hoja uonekane kituko, bali pia zinasaidia sana kushusha hadhi ya jukwaa. Kama unajua kuwa una uwezo wa kuleta taarifa zaidi, kwa nini usisubiri ukakusanya taarifa zote na kuzishusha kuliko kutuletea hoja hii ambayo ni vigumu kujua kichwa ni kipi na miguu imeelekea upande gani! Kijana, kajipange
 
Rostam ana biashara/sughuli nyingi, alitakiwa kulipa kodi ya biashara zipi.

Elewa kuwa.
Bilioni haitajwi yenyewe, inaanzia Bilioni 1 - 900,

Fungua mabano

Ni nani walikwenda kumfanyia hizo tathmini unazozisema? Ni Ofisi ya mkaguzi mkuu au kampuni binafsi ilipewa tender e.d PWC, Deloit etc.

How?
How soon? Soonest early? soonest possible? or soon later?

Wajameni! Mie nashindwa kuelewa. Hivi alichokisema mtoa habari hakieleweki?
I stand to be corrected, lakini kwa Kiswahili mtu akisema "mia", "elfu", "laki" n.k. ina maana "mia moja", "elfu moja", "laki moja" n.k.
Sasa hii ya kusema "bilioni haitajwi peke yake" ni Kiswahili cha wapi?
 
Hizi ni habari za masikitiko makubwa ambazo zinaonyesha nguvu ya mafisadi inavyofanya kazi hapa Tanzania, tathimini inaonyesha rostam alitakiwa kulipa billion 1 kama kodi lakini kilichotokea ni afisa mhusika aliyafanya hiyo tathimini kafukuzwa kazi baada ya kukubali kufia nchi.
More details willn be made available soon.

huna data za kutosha unaandika majungu tu hapa na wewe....
 
Huyo afisa mhusika angesubiri tuwe na "Putin" wetu pale Magogoni. Kwa hali na mazingira ya sasa hakuna cha kufanya juu ya Rostam.
 
Rostam ana biashara/sughuli nyingi, alitakiwa kulipa kodi ya biashara zipi.

Elewa kuwa.
Bilioni haitajwi yenyewe, inaanzia Bilioni 1 - 900,

Fungua mabano

Ni nani walikwenda kumfanyia hizo tathmini unazozisema? Ni Ofisi ya mkaguzi mkuu au kampuni binafsi ilipewa tender e.d PWC, Deloit etc.

How?
How soon? Soonest early? soonest possible? or soon later?

wewe pia ni somebody Aziz?
 
Hizi ni habari za masikitiko makubwa ambazo zinaonyesha nguvu ya mafisadi inavyofanya kazi hapa Tanzania, tathimini inaonyesha rostam alitakiwa kulipa billion 1 kama kodi lakini kilichotokea ni afisa mhusika aliyafanya hiyo tathimini kafukuzwa kazi baada ya kukubali kufia nchi.
More details willn be made available soon.
Gutter politics!!
 
Wajameni! Mie nashindwa kuelewa. Hivi alichokisema mtoa habari hakieleweki?
I stand to be corrected, lakini kwa Kiswahili mtu akisema "mia", "elfu", "laki" n.k. ina maana "mia moja", "elfu moja", "laki moja" n.k.
Sasa hii ya kusema "bilioni haitajwi peke yake" ni Kiswahili cha wapi?

Unahitaji kurudishwa darasa la pili au la tatu kujua hilo? Consigliere yoku sasa hihi kabisa yaani 100% perfect. Ni Kiswahili sanifu kabisa iwwe katika lahaja ya kimvita, kiunguja, kimombasa au lamu.Hebu ziandike namba hizi kwa maneno 100, 1000, 500, 10,000 na 2,000,000,000.
 
Kweli Rostam kajipanga. Ameshanunua watu wa kuja kumtetea humu JF. Jaribu kuzungumzia mabaya yake, Utashambuliwa kama mpira wa kona!
 
Maybe roast ham......

ham_with_cider_glaze_lead.jpg
 
mtoa uzi kajipange vizuri, usiharakie tu kupost! Unajua humu mada inayotaja majina ya watu, inajadiliwa sana kuliko hoja tupu! Kaiweke vizuri hiyo nondo yako,kisha uje.
 
Kaka unataka mtu achafuliwe bila sababu ????!!! Kweli? Duh. Thinking.... Sali uongezewe uwezo.

Wamechafuliwa wangapi humu hatuoni wakuwatetea, hata kama madai yanaonekana ni ya kutengenezwa, iweje kwa RA iwe tofauti leo! Kweli baadhi ya Wabongo mnanunulika kwa bei rahisi
 
hapa hatuna cha kuchangia zaidi ya kusema rostam ni fisadi maana mleta thread ameleta habari kama vile za umbea hazina evidence
 
Back
Top Bottom