Kwa wanachadema tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanachadema tu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Jan 3, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Heri ya mwk mpya wanajf na wana chdm wnzng!ni matumumain yng kw mmsheherekea vym!
  Najua kuna mambo mengi ambay bado chama chetu kinahtj kufanya ili kujiimarisha zaidi kuelekea chaguzi zijazo!najua kuna michango iki/uki wemo yako/wako amba(yo/o) unahtjka sn!viongozi na watu wengine wenye influence kubwa kwa chama wanatakiwa kutumia shauri na jumbe zako zitakaztolewa hapa kukiendeleza na kukijenga chama hiki cha ukombozi!we real appreciate and admire the work whch is being done by Chdm!yangu machache ni;
  1.wazidi kukumbushia uovu uliofanya na wakoloni CCM na kupigania urejeshwaji wa rasilimali zilizohujumiwa
  2.wazidi kueneza elimu ya uraia kw watz wote(hasa vijijn)
  3.kamati kuu izidi kudumisha malezi na nidham hasa kwa wale wanaokichafua chama(SHIBUDA et al)na ikiwzkana kuwaondoa kabisa
  KAMA WEWE C MWANACHADEMA USICHANGIE MADA HII!MATUSI NA KEJELI HATUZITAKI HAPA P/SE.TUNAHITAJI KUKIIMARISHA CHAMA ZAIDI!
  Peoples pooweeeer!
   
 2. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Matawi yafunguliwe kwa wingi vijijini.
   
 3. J

  James Lwakatare Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, nashauri 2012 uongozi wa juu wa chama ujikite vijijin,kwani tayari tumeenea mijini, lkn idadi kubwa ya walala hoi wa kitanzania wako vijijin ambao ndio wapiga kura weng. Ningependa kumuomb Dr.Slaa alivalie njuga jambo hili na kuweka malengo thabit ya kupata vti ving ktk chaguz za mitaa mwaka kesho kutwa. PPO.....Z POWER.
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Acha ubaguzi, kuwa tayari kupokea mawazo toka makundi mbalimbali ya jamii
   
 5. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Juhudi za makusudi zifanyike ili chama kienee katika mikoa ya kusini maeneo ya pwani
   
 6. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa tena jimbo kama la temeke bila kuanza underground ni ngumu kulipata.
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tusisahau kuwaumbua wauza unga hata kama ni WALEZI wa chama!
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mikutano ya hadhara inahitajika kujulisha wananch mambo mbalimbali yanayoendelea katika taifa
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hapo amemaanisha wale viwavi wanaotumwa kuvuruga hoja,wasiingilie kwa kutuchafulia hali ya hewa,Peopleeeeeeeessssssssss............................ CHADEMA DAIMA.
   
 10. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Maadamu umeliweka JF basi kila mwanajamvi anahaki ya kuchangia. Vinginevyo ungeweka kule kwenye website ya CHADEMA ama blogspot yoyote ya mwana CHADEMA. Waache waje kuponda mawazo finyu ndipo utakapoimarika.
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  silabi ulizo tumia si za ukweli maeneo mengine husomeki kabisa jitahidi kuandika vizuri kwani hili jukwaa la siasa wanapita wengi akiwemo Dr Slaa

  tofautisha JF na FB
   
 12. M

  MUNDULE Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila kusahau Zanzibar maana nashawishika kwa sehemu kuwa at least huku Tanganyika elimu inaendelea kuongezeka ila huko visiwani bado sana.
   
 13. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Chama kiweke mizizi zaidi Zanzibar na vijijini kwa ujumla..
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  chama kiweke mizizi mikoa ya kanda ya pwani huko watu hawana elimu kabisa wao kazi ni kucheza bao na kugema minazi.
   
 15. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Maamuzi makubwa ya kichama yasifanywe na watu wa kutoka eneo moja la nchi
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kuinvest sana vijijini na kutengeneza uelevu kwani mafisadi hutumia ujinga wa wananchi kama mtaji wao. Mijini tayari waelevu ni wengi na wanaujua uovu wa mafisadi!
   
 17. m

  mtolewa Senior Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  walezi wa chadema wakiuza unga wa ccm watauza nini? ok nimekumbuka watauza twiga

  by the way Jesus is God kama huamini subiri siku ya kiama uone!(soma vizuri korani na bible)usije ukasema hatukukwambia.l
   
 18. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...issue ya katiba nadhani huu ndo mwaka wa kukaza uzi kabisa,hoja ya kuirudisha Tanganyika yetu naomba itiliwe mkazo kila-mtakopo enda vigozi wetu coz tumechoshwa sana na hizo kebei za Wazanzibar.Yaani Watanzania bara tumekuwa kama watoto wa-kambo!...tuseme imetosha sasa tunataka kurudi kwetu Tanganyika,hakuna sababu ya kuendelea kusmangwa hapa ugenini(Tz).
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  chama kiache kukumbatia kanisa na uchaga
   
 20. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CDM = Christian Democratic Movement! Pia mi nakubali Jesus is 'god', Tatizo God sio Jesus!
   
Loading...