Ccm ya watanzania, vingine vyama vya kanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ya watanzania, vingine vyama vya kanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Jan 4, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,885
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Heri ya Mwaka Mpya wana wa CCM, twashukuru mungu tumevuka mwaka baada ya kushiriki kikamilifu miaka 50 ya UHURU.
  Vijana kwa wazee, tuwe wawazi na kuthubutu kukitetea na kukiunga mkono chama chenye uwakilishi wa makundi mbalimbali toka Kaskazini hadi kusini, mashariki hadi magharibi, na kimepiga mbizi na kuingia Zanzibar. Chama chetu ni uthibitisho wa utaifa nchini Tanzania.
  UVCCM na UWT uzi ukazwe ili tuwabwage CDM na CUF katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu. Twaomba polisi watoe vibali kwa CDM ili waweze kutumia silaha yao pekee ya maandamano wakati CCM tunawaandalia maisha yenye neema watanzania kupitia SACCOs and Power tillers .
  Mwaka huu tusiwe legelege wakimwaga mboga CDM sie tumwage ugali. KIDUMU CCM
  !!!
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  dog sh*t..we dobi nenda kafua minguo ya kijani inayonuka jasho la akina wassira,mkama etal
   
 3. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,375
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  Znz kimepiga mbizi!! Mh, kwani maana ya CCM ni nn? Chama cha mapinduzi, nyie huko Tanganyika mlimpindua nani? Znz ndiko kilikoanzia haswa nyie uko mmejitia tu, kuwafuata mabwana zenu:
  Hio kijani ungechanganya na manjano ndo tungekujua haswa km ww Gamba la ukwee.
  Kigumu chama cha mahayawani.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  :shock:Siasa za majitaka:shock:

  Tusiojua sihasa sijui tutajifunzaje
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  CCM ni la kuvunda halina ubani
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Dada,
  Habari za Mwalusembe?...
   
 7. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haya bibie gamba.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  You are a crap!
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  masaburi dotcom
   
Loading...