CCM ni sawa na Kipindi cha CHEREKO TBC 1

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Kwanza CCM hawa wananichanganya. Kuna muda mwingine wanakaa wanafanya vikao vyao vya siri lakini masaa machache baadae kila kitu kinajulikana. Kila kiongozi anaropoka ki vyake wakati ilikuwa ni siri. Sasa nini maana ya kikao cha siri. Saa nyingine unakuta ni NEC waandishi wa habari wanaweza wasiwemo lakini kila kitu out na lawama kibao kwa nini msifanye hadharani. Hii ni dalili ya chama kufa maana hakuna kuaminiana tena.

Hali hii naifananisha na television yao ya TBC 1 pale ambapo siku moja nikiwa nimepumzika jioni Jumapili nikaona TBC 1 inaonesha kipindi cha CHEREKO. Kilichonishangaza nikuona Sherehe ya Kitchen Party inarushwa hewani!!! Wakauliza inakuwaje kitchen party ambayo wanaume huzuiwa kiasi kwamba kuanzia DJ, MC, wabeba masufuria ni kina mama alafu inarushwa hewani.....si bora wangeingia wote. Haikuwa na maana hii. Maana hata vitu walivyokuwa wakishauriana jinsi ya kutushika sisi wanaume na ujanja ujanja wote tuliusikia maana yake nini? Si bora na wanaume wawe wanatinga tu ukumbini maana ni ujinga.

WANANCHI WACHOSHWA NA TBC 1

Akiwemo mzee wa miaka 65, wananchi wanalalamika juu ya television yao ya taifa kutokuwa na jipya. Hii ilitokea siku moja ya Jumamosi usiku ambapo watu na familia zao walikuwa wamekaa wakisubiria filamu kwenye tv yao ya Taifa. Cha ajabu filamu iliyowekwa ni ile ya msalata wa usalato salaaaaaaaaaataaaaaa.........salata msalato salaaaaataaaaaaaaaaaa. Walichukia na kila mtu kwenda kulala..wengine walikuwa bado wako baa...wakahoji kuwa Tangu mwaka uanze filamu hiyo imekwisha oneshwa zaidi ya mara sita.........kila ukikaa kwenye TV utasikia msalata wa usalatoooo ohhhhhhhhhh salataaaaaaaaaaaaaaaa..........swali likaulizwa katika filamu zote zilizoko hapanchini hakuna filamu yoyote yenye mafunzo zaidi ya oooooooh salataaaaaaaaaa, msalatooooooo oh salataaaaaaaa. Filamu hiii na ujinga wa TBC 1 kuwachosha wananchi ni sawa kabisa na vitendo vya CCM.

Kwa herini.........ooooooooooooohhhhhhhh salaaataaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu ile ni muvi nzuri sana katika picha za kiswahili na kitamaduni... Shida ni hiyo ratiba ya kuibroadcast.
Kwa sasa habari za ccm zinataka moyo wa Mwendawazimu kuzipokea, maana kila mtu amekuwa muasi!
 
Mkuu ile ni muvi nzuri sana katika picha za kiswahili na kitamaduni... Shida ni hiyo ratiba ya kuibroadcast.
Kwa sasa habari za ccm zinataka moyo wa Mwendawazimu kuzipokea, maana kila mtu amekuwa muasi!

Mkuu hata mie naikubali sana ni nzuri lakini nchi yote hii iko moja tuu?? Hakuna nyingine.
 
Mkuu hata mie naikubali sana ni nzuri lakini nchi yote hii iko moja tuu?? Hakuna nyingine.

Nakumbuka mwanzoni wakati inaitwa TVT, Vipindi vinajirudia mwezi mzima, Hivyo vipindi vya Mwanamboka vilikuwa mpaka vinaboa, kama ni mtu alifanyiwa mahojiano basi ni hayo hayo mpaka mkinai.
Alivyokuja Tido Mhando mambo haya tuliyasahau, lakini sasa tuyategemee kurudi kwa sana tu.
 
Jamani idara nyingi za umma ziko vibaya vibaya hata maisha yetu ni magumu kwa chama hiki hakuna penye unafuu.

Hata tukiwaambia vipi ccm jibu ni moja tu oooooooo salatoooooo.....hakuna cha maana wanachokifanya. Hata kubadili CD kwenye deck inakuwa kazi...sembuse kutetea maslahi ya mwananchi.
 
TBC haina lolote wajamini
inabidi irudi mikononi mwa wananchi lkn sio serikali kuimiliki
nshasema haya tena ktk mada za TBC, sijui kama nlieleweka
ufanisi hakuna kama wizara au mtu mmoja awe na maamuzi.labda bunge limteuwe mkurugenzi
na awajike kwa bunge lakini sio kwa nchimbi na jk.
 
Haaaa uwezi amin ile movie ndo imemtoa odama binti wa msisiri,oh oh salaaaaaaaaaaataaaaaaa wa usalatoooooooooo oh mfalme,mambo ya mussa banzi
 
Tido walimpiga ban baada ya kuruhusu mchakato majimboni uendelee hata baada ya magamba kukatazwa kushiri (TANZANIA NCHI YA KUSADIKIKA)
 
Kwa kusema inaonyesha utamaduni..Bado huo utamaduni upo tukiutaka kwenye format ya reality??? Nadhani ni kitu burudani katika maadili ya kiafrika na kama ni kweli then iwe kama ISIDINGO...No new TBC.....
 
Kwa kusema inaonyesha utamaduni..Bado huo utamaduni upo tukiutaka kwenye format ya reality??? Nadhani ni kitu burudani katika maadili ya kiafrika na kama ni kweli then iwe kama ISIDINGO...No new TBC.....

ooooooooooh salataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom