Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndani ya CUF kunafuka moshi mweusi unaotishia uhai wa chama hicho...kikubwa kinachosababisha mgogoro huo ni ulafi na uroho wa madaraka. Hamad Rashid anasigana na viongozi wakuu wa chama akiwamo...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Wakati michakato mingi ikiendelea na matukio mengi yakijiri ingependeza mwenye kiapo cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atumwagie hapa ili tujadili jinsi rais wetu anvyoishi kiapo hiki -...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
USHAURI KWA WA-TANZANIA WOTE-KIKWETE NAKUKUBALI KWA MACHACHE. Kupanda kwa garama za maisha ni suala mtambuka ,kila sehemu ya maisha ya mwananchi katika nchi husika ni suala lisilopingika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamba kashikwa pabaya na Omari Kimbau. Kalazimisha uchaguzi urudiwe kwenye makao makuu ya Kisiwa cha Mafia mpaka MPWA WAKE bwana OMARI KIMBAU kapita kwa kura tano huku watu zaidi ya 50 wakizuiwa...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
TAARIFA KWA UMMA: KUMBUKUMBU YA TAREHE 5 JANUARI04 JANUARI 2012. Ndugu wananchi na wakazi wa Arusha. Tarehe 5 Januari ni siku ya kumbukumbu ya maana sana katika chama chetu kwenye mkoa wetu na...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Mbaraka Dau ambaye ni msomi na investment banker ataingia ulingoni kuchuana na combination ya Abdulkarim Shah (bulj na Mbunge wa sasa wa Mafiai) + Omari Kimbau (Mtoto wa Kanali Kimbau na mwenye...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
CUF – CHAMA CHA WANANCHI TAMKO LA WANACHAMA WA CUF MKOA WA DAR ES SALAAM JUU HALI YA KISIASA NDANI YA CHAMA. Sisi wanachama mkoa wa Dsm,baada ya kuona hali mbaya ya kisiasa ndani ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Magufuli pamoja na kuboronga na kauli zake tata ila hili la kununua kivuko kipya cha kutoka Bagamoyo kuja ferry nimelipenda. Litapunguza foleni kwa wakazi wa Bagamoyo na Mbezi. Swali ni lini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pumbavu kama hili linavyotetea posho ya laki mbili?????? Ndugai amshukia Frederick Sumaye Send to a friend Wednesday, 04 January 2012 21:09...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Kila moja katika hawa akipingwa lazima uondolewe 2. Wamekaa kwenye nafasi hizo muda mrefu sana Hivi kuna tofauti kati ya hawa wanasiasa??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Photo by: Ariel Harmoni / Defense MinistryBy GIL HOFFMAN 12/27/2011 19:21 Refuses to apologize to African country after it protests being called "irrelevant." Defense Minister Ehud Barak has...
0 Reactions
111 Replies
10K Views
2012, mwaka wa chuki za kisiasa, kiuchumi Evarist Chahali CCM, Upinzani ishara si njema Nchi tajiri kuiyumbisha Tanzania NIANZE makala hii ya kwanza kwa mwaka huu kwa kupigia mstari pointi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika salamu zangu za mwaka mpya mwaka jana nilidokeza kuwa mwaka 2011 ungekuwa ni mwaka ambapo ‘hekima’ ingewekwa majaribuni. Nilielezea kuwa mwaka 2011 ungetuonesha sana ni jinsi gani...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CCm Wilson Mukama amekosoa hatua ya wabunge kujiongezea posho za kikao (sitting allowance) badala ya posho za kujikimu (DSA). Mukama amesema kama swala ni gharama kubwa ya maisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakupa sana Hongera Lipumba kwa nafasi mpya Duniani kuongoza harakati za Uchumi.CCM walikuona huna maana ila Dunia kila siku ina waumbua .Hongera sana na achana na KAFU hawa wanapoteza muda waache...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wanajamii nawauliza, Katibu Mkuu Kiongozi aliyeteuliwa sasa, atakiweza kiatu cha Mh. Luhanjo na timu yake iliyopo? au atahitaji kuipanga upya. na Kama ndiyo ni lini ataifanyanya kazi hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CUF – CHAMA CHA WANANCHI TAMKO LA WANACHAMA WA CUF MKOA WA DAR ES SALAAM JUU HALI YA KISIASA NDANI YA CHAMA. Sisi wanachama mkoa wa Dsm,baada ya kuona hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
NI MIAKA MINGI TANZANIA IMEKUWA IKIJISIFU KUWA NI KISIWA CHA AMANI. NAOMBA NIULIZE MASWALI YA KICHIKOZI. JE, KUNA UWEZEKANO WA KUONGEZAKIPATO KWA KUTUMIA FURSA HII? KWA VIPI? JE, WATANZANIA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika taarifa yake, Katibu Mkuu Kiongozi Sefue amesema kuwa Rais Kikwete amemteua Dkt. James Alex Msekela kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia. Kabla ya hapo Mheshimiwa Msekela alikuwa Mkuu wa...
4 Reactions
77 Replies
9K Views
Katika sakata la Magufuli na nauli za kivuko cha kigamboni linaloendelea na huku Mh Magufuli akionesha kuungwa mkono na wakazi wengi wa Dar na Tanzania kwa ujumla juu ya upandishwaji wa nauli za...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…