Kuna tofauti yeyote kati ya Maalim Seif vs Augustino mrema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tofauti yeyote kati ya Maalim Seif vs Augustino mrema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Topical, Jan 5, 2012.

 1. T

  Topical JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  1. Kila moja katika hawa akipingwa lazima uondolewe

  2. Wamekaa kwenye nafasi hizo muda mrefu sana

  Hivi kuna tofauti kati ya hawa wanasiasa??
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Dini zao tofauti na vyama vyama vyao ni Tofauti
   
 3. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mrema mchaga na Seif mpemba.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hawana tofauti hawa, wanaendesha vyama kama NGOs zao na siyo SEIF na MREMA tu, hata MBOWE CHADEMA, akitokea mtu kutaka kuchukua Uenyekiti wa CHADEMA lazima aondoke. Nguvu za ZITTO KABWE ziko wapi?
   
Loading...