Mbaraka Dau vs Omari Kimbau na A Shah kisiwani Mafia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbaraka Dau vs Omari Kimbau na A Shah kisiwani Mafia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MafiaIsland2015, Dec 26, 2011.

 1. M

  MafiaIsland2015 Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbaraka Dau ambaye ni msomi na investment banker ataingia ulingoni kuchuana na combination ya Abdulkarim Shah (bulj na Mbunge wa sasa wa Mafiai) + Omari Kimbau (Mtoto wa Kanali Kimbau na mwenye bar ya Mafian) + (yule mama wa UN) +CCM Machinery + CUF ambao wako very strong kisiwani Mafia)

  Nampongeza Mbaraka kwa kuonyesha nia lakini je ataweza fitna za CCM na siasa zao za urithi?

  Je atawaweza wana Mafia ambao naturally wanajiona ni CUF kuliko CCM?

  No wonder bulji kashaanza ku court publicity!

  Tusisahau kuwa mbunge wa sasa wa Mafia ni form 2 leaver

  Omari Kimbau haijuilikani elimu yake

  Yule mama wa UN ana MA

  Mbaraka naye ana MBA

  I
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hatimaye umeamua kulitupa taulo na kuyakoga maji... kumbuka hayajapashwa joto, hayana harufu ya hiliki wala karafuu, ni ya baridi hayo!!

  Good luck!!
   
 3. m

  mkulima wa kisasa Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona habari imekaa nusu nusu?

  Lakini yeyote anayeweza kuwakomboa watu wa Mafia toka kwenye magamba sisi poa tuu
   
 4. paperless

  paperless Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Kwanza kabisa ningependa kuchukua muda huu kukushukuru ndugu MafiaIsland2015 kwa kuleta habari hii jamvini.


  Pili ningependa kukuomba kwa niaba ya wanajamvi wasifu wa huyu mama wa UN


  Tatu, kuhusu mbunge wa sasa wa Mafia (by then lorry driver of NRA Burundi ) bwana Shah, elimu yake kwenye tovuti ya bunge inasema kasoma secondary toka 76-79 sasa inaleta ugumu wa aina fulani fulani unaposema kaishia form 2. Lakini tutawauliza aliokuwa nao msituni NRA watuhabarishe.


  nne, je huyu Mbaraka Dau ana udugu na yule mkurugenzi wa bodi ya Mashirika ya Umma Duniani (ISSA)? vipi ufanisi wake huko kwenye Bank kama huyo wa ISSA? maana kwenye Statistics studies kuna concept ya Intra-Class Correlation inafit hapa na hasa hasa ukizingatia yule bwana wa ISSA anavyopigania maendeleo na mabadiliko yenye kuwanufaisha wanajamii moja kwa moja(pitia kiambatanisho nambari 1 na 2 hapo chini)

  kiambatanisho 1

  kiambatanisho 2
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  vipi ile issue ya viwanja maana hapo ndio uwanja wa "vita" ya awali ya kujijenga na au kujibomoana . Hao wagombea wote wana msimamo gani na wamesimamia wapi ?
   
 6. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  nilikua nimetulia nasoma kwa makini kumbe uko kwenye kazi za kampeni ya mbaraka?hayo tunawaachia wenyewe watu wa mafia mchague atakae waletea maendeleo,ila shah niliwahi kuzungumza nae akaniambia yeye hakitegemei chama bali anategemea umaarufu wake huko mafia kutokana na jinsi alivyo karibu na watu wa kawaida,hivyo akiona ccm mnamzingua atagombea kupitia cuf kwani amekua akishawishiwa hivyo muda mrefu na watu wengi wa huko kwenu mafia,sasa sijui wenyewe
   
 7. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Try to be smarter otherwise it wont help using more than one screen name
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Niliandika majibu marefu sana hata sijui yamepotelea wapi

  willbe back shortly
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  Mbona muda bado jamani??
  Ok, huyo unaemponda juzi kauza sura na kuosha jina kwenye mafuriko ya DSM, huyo M'baraka wako kafanya nini?
  Au kwakua sio M'bunge?
  usiwe kama wale wanaofunga swaumu halafu saa saba mchana washatandika jamvi na kutenga futari wakisubiri saa kumi na mbili ifike wafuturu, subiri muda wa uchaguzi ukifika utatuletea habari zako za huyo M'baraka wako!!
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  I knew it... :poa
   
 11. paperless

  paperless Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  SR hivi huyu mhasi wa NRA anaweza kupitia viambatanisho hivi au ndio bingwa wa kuuza sura kwenye vyombo vya habari na kuacha wnanchi wake wanapata taabu kule Mafia kila leo (not to mention majahazi yaliozama within 2 last weeks na hakuenda hata kutoa pole).

  SR Hivi unajua huyu Mhasi wa NRA kama tangu aingie hajafanya lolote zaidi ya kuongeza wake tu na kila leo ugomvi na mkewe hauishi kwa kumfumania na vitotoz...Kwanza familia yake inamshinda kuiongoza ataweza kuongoza watu wa Mafia??? Mwanae Ahmed( darasa la saba) na Najma( form1 + muuza sura kwenye nyimbo za Diamond mbagala) kashindwa kuwapeleka shule ataweza kupigania kupunguza illiteracy level mafia na TZ kwa ujumla?
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Thread kwanza ilikuwa imekaa kimtego mtego lakini mindhali watu washaanzakuijibu bora niweke couple of records straight maana najua isije ikafika page 20 huku watu wanaongea yaso na ukweli

  Mimi nitaelezea kwa namna nimjua vyo Muba/Mbaraka lakini hizi rumours ita abouttime zikawa addressed.

  Kabla hatujaenda mbali kuna maswali ambayo lazima tujiulize:

  1. Je Mbaraka Dau kama raia yoyote wa Tanzaniana anayo haki ya kumbea ubungekokote kule Tanzania au la?

  2. Je Muba kwa anayo nia ya kugombea huo ubunge Mafia au la?

  3. Je Mbaraka anao uwezo wa kuwafikisha wana Mafia wanakotaka kwendakimaendeleo au la?

  4. Je Mbaraka anaweza kumwondoa mbunge wa sasa wa Mafia au la?

  5. Swali hili inabidi tuligawanye into 2 sections:

  a) Je Mbaraka ni HEDGE FUND MANAGER au ni INVESTMENT BANKER?

  b) Kwa nini Muba aache kazi yake tena kwenye daraja la juu ambaye analipwa 6 figure salary MINUS bonuses aende kulipwa posho za dola e 3,000 za ubunge?


  Majibu ya maswali 1, 3, 4 ni ndiyo

  -Jibu la swali 2 sijui na wala sijamsikia mwenyewe akisema wazi kuwa anataka kugombea lakini deeep down najua nia anayo


  -Jibu la swali la 5 ni more puzzling lakini kwanza kwa haraka haraka tuunijuavyo mimi ni kuwa Investment bankers ambao wame survive kwenye hii cull ya economy iko hivi:


  1st Year Analyst- $80,000-100,000

  2nd Year Analyst- $100,000-$130,000

  3rd Year Analyst- $130,000-$160,000

  1st Year Associate- $160,000-$200,000

  2nd Year Associate- $200,000-$275,000

  3rd Year Associate- $300,000-$400,000

  Vice President- $500,000-$650,000

  Senior Vice President- $650,000 - $800,000

  Managing Director- $800,000 - The Sky is the limit

  source:Salaries in Investment Banking


  I wish to point out that Investment banking is not based on commission but rather a base salary + a bonus. VPs and above it's all about brining in deals. These investment banks usually recruit from only the Top 20 Schools in Europe and US (some of these banks only go to Ivy league business schools), and they usually get people who have a GPA>3.5, has a lot of extracurricular activities, and has a solid finance internship.

  So kwa USA we are looking at:

  WHARTON SCHOOL

  HARVARD BUSINESS SCHOOL

  TUCK SCHOOL OF BUSINESS

  COLUMBIA BUSINESS SCHOOL

  SAMUEL CURTIS GRADUATE SCHOOL OF MANAGEMENT

  YALE SCHOOL OF MANAGEMENT

  source: http://businessmajors.about.com/od/choosingaschool/tp/topgradschools.htm

  Sasa turudi kwenye issue ya HEDGE FUND industry is a completely different ballgame kwa sababu hapa ndiko utawakuta akina Carlyle Group, Blacksotone, GoldmanSachs na wengineo. Sasa kwa haraka haraka tuu ni kuwa top fund managerlast year brought home $650m in one year. Of course he has been doing it foryears and manages a $4b dollar fund. Either way, the real money is made and lost in the hedge fund business. There is a cool magazine called "The Trader Daily" or Daily trader, forget which it is.....this month's issue lists the top 100 traders in the world. The lowest paid makes $30m a year. What other profession, celebrity, athlete, doctor, lawyer or even MBUNGE can even compete? Nothing at all


  Ubunge Mafia:


  Kwanza, Baada yakufanya mashauriano na watu mbalimbali kama vile Familia yake. Ndugu zake,vijana.Akinamama, Wazee mbalimbali, viongozi mbalimbalijimboni wa chama na wa Serikali, makundi mbalimbali kama vileWalimu, Watumishi wa Idara ya afya na wanamichezo waliopo jimboni: Wote kwapamoja wamempa moyo wa kujitokezakugombea nafasi hii na as far as I know wamemhakikishia kumuunga mkono.


  Pili,
  kuitumiahaki yake yake kidemokrasia kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu, na walahampingi mtu yeyote.  Tatu,
  naaminiMbaraka anazo sifa na uwezo wa kugombea nafasi hii. Miongoni mwa sifa hizo Elimuya kutosha, uzoefu wa kwenye shughuli za kijamii na kukubalika na wananchi wajimbo la Mafia na maeneo mbalimbali aliyofanyia kazi.  Nne,
  Ubunge nikazi ya miaka mitano na mpango kazi wamiaka mitano, kwamba ndani ya miaka hiyo mitano Mbaraka kama akiamua afanye nini kama Mbunge wa Jimbola Mafia na so far sijamsikia Mbaraka akimsema vibaya kwa lolote Mbunge wa sasabwana Shah, if anything Muba anayapongeza yale yote ambayo Shah ameyafanya na japo ameonyesha nia ya kuaboresha yale mazuri ambayo aliyafanya kwa namna ambayo anajua yeye.


  Tano, kwa nafasi mbalimbali alizozitumikia kama raia wakawaida (private citizen) Mbaraka amewezakujifunza mengi juu ya kwa nini ma
  jimbo na wilaya za wenzetu zinasonga mbelekwa kasi kubwa.


  Endapo atachaguliwa kuwa Mbunge, pamoja na kutekelezakikamilifu kazi kuu za Mbunge kama zilivyotajwa katika katiba ya jamuhuri yamuungano wa Tanzania ambazo ni kutunga sheria na kuishauri serikali, majukumuyafuatayo yatasimamwa kikamilifu na Mbaraka Dau:

  A. MAJUKUMU YA JUMLA

  Kwanza:
  atatatembelea jimbo na kukagua mara kwa mara utekelezaji wa miradi yamaendeleo na kufanya tathmini ya viwango vya utekelezaji ambavyo vimefikiwa . lengo hapa nikuhakikisha utekelezaji wa miradi hiyo ili iweze kukamilishwa katika mudauliopangwa, kufikia ubora unao kusudiwa na kuzuia au kukomesha utekelezaji hewa wa miradi ya maendeleo kwaujumla.  Pili,
  Atawatembelea mara kwa mara wananchi wa jimbo ili kujielimisha juu ya ubora wamaendeleo yao kiuchumi na kijamii, kujua kero/migogoro na matatizo yao. Lengohapa ni ili aweze kushiriki kikamilifu katika kuzitatua.  Tatu,
  kuwa karibu na kushirikiana vizuri na ngazi zote za vyombo vya Serikali,NGO's na Taasisi nyingine, vinavyosukuma siku hadi siku maendeleo ya jimbo. Napia kuwa hakikishia wana Mafia kuwa maendeleo yao hayatoletwa na watu toka njebali na wana Mafia wenyewe.  Nne, kuwafikishiawananchi wa jimbo la Mafia maagizo ya serikali yanayotolewa mara kwa marayakiwataka wayatekeleze, kuyafafanua vizuri maagizo hayo kwenye mikutano yahadhara . Lengo hapa ni kutaka kuakikisha kwamba kila agizo la serikali linapokelewana wananchi na linaeleweka ili waweze kulitekeleza kwa ukamilifu. Pia atayapokea maoni na mapendekezo ya wananchi na kuyapeleka serikalini. Lengo hapa ni kuimarisha serikali yao.
  Sasa ni hayo ndiyonaweza kuyasema sasa hivi lakini kadri muda unavyozidi kwenda tutaendelea namijadala lakini doing nothing at this stage is not an option.
   
 13. J

  Jicho langu Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Gud CV bt wapiga kura wa mafia hawafiki hata asilimia 1 wanaoingia JF pia kwa uelewa wangu wewe ni mpiga debe tu na kila thread unaonyesha kusifia familia ya Dau All in all Mafia tumechoka na MAGAMBA.....!!
   
 14. G

  George Smiley JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ai inawezekana wakawa wamepeana password ya username mmoja
   
 15. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
 16. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lakini zaidi ya yote hayo baba mtu ilitakiwa aelimishe wanae kwanza. Yeye kama Mbunge kukosa elimu sio tija bali alitakiwa aonyeshe kwa wanae umuhimu wa elimu na inasikitisha kuwa kati ya wanae hakuna aliyemalisha ulimu ya juu hata mmoja

  Nadhani bora huyu mbunge akanyanyua bendera mapema na kukubali matokeo kisha akaacha hii ngoma ichezwe kati ya Mbaraka na Omari Kimbau
   
 17. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wewe unasema wana Mafia? Jiulizewatanzania wangapi wanaingia JF?
  Nanusa harufu za bifu zenu za kifamilia mnataka kuzihamishia humu....lakini JF kila mmoja anaingia kwa interest zake kama huamini wewe anza kumtukana Lowasa au Mbowe au mkaguzi mkuu wa serikali au Malecela kama majeshi yao ya kukodisha hayoingia kukumaliza

  ndio ukweli wenyewe huo
   
 18. paperless

  paperless Member

  #18
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo nilipatapo kuzungumza na bwana Mmoja ambaye alikuwa msituni na bwana Shah kule Bujumbura akatuhakikishia kuwa bwana Shah ana kadi (passport ) ya Unyaruanda. hii alipewa baada ya vita kuisha kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kutengeneza vifaru vya wahaasi wa RPF na hili mwenyewe habishi huwa anasema wazi kabisa kuwa alikuwa mwanajeshi mhasi. sasa swali huyu mwanajeshi (mhasi/mnyaruanda) kafanya maendeleo gani mpaka leo mafia?

  Term mbili kashindwa kushughulikia gati na Airport( pamoja na pesa za millenia).

  Tatu, yy anaongoza kwa kugombanisha viongozi wa chama na wilaya ya mafia. kama mtu wa mafia utajua ugomvi alionao na offisi ya meya.
   
 19. b

  ben van mike JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 471
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 33
  upuuzi kweli badala ya kufanya mipango ya maendeleo tunaingia 2012 ....uchaguzi 2015 ....tayari mtu unawaza kwenda kumtoa ubunge ...upumbafu kweli ...ndo maana atundelei ....yaani mbunge anapoteza energy kubwa kuhakikisha anaendelea kubaki badala ya kuwakilisha wananchi na kufanikisha maendeleo ....
   
 20. K

  Kwitukutila Member

  #20
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ofcourse!
   
Loading...