Je, amani iliyopo Tanzania inawezaje kutumiwa kuongeza uzalishaji na kuongeza kipato? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, amani iliyopo Tanzania inawezaje kutumiwa kuongeza uzalishaji na kuongeza kipato?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzamifu, Jan 4, 2012.

 1. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  NI MIAKA MINGI TANZANIA IMEKUWA IKIJISIFU KUWA NI KISIWA CHA AMANI. NAOMBA NIULIZE MASWALI YA KICHIKOZI. JE, KUNA UWEZEKANO WA KUONGEZAKIPATO KWA KUTUMIA FURSA HII? KWA VIPI? JE, WATANZANIA WANAJUA KUWA KUWEPO KWA AMANI NI FURSA YA KUENDELEA? KAMA NDIYO MBONA HATUENDELEI? JE, KUWEPO KWA AMANI HAKUWEZI KUWA NI TATIZO? KWAMBA WAKATI TUNAJIVUNIA AMANI WACHACHE WANAPATA MWANYA WA KUCHOTA WATAKAVYO MAANA WATU HAWAPIGI MAKELELE KWA VILE YATATOROSHA AMANI. NIONAVYO MIMI KUNA HAJA YA KUPATA TAFSIRI SAHIHI YA DHANA 'AMANI'. NI NINI TUNDA LA AMANI? WAHENGA WALIKUSUDIA NINI KUSEMA KUWA AMANI HAIJI ILA KWA NJIA YA UPANGA? HIVI WATU WAKIPITA BARABARANI WAKIPAAZA SAUTI TU KWAMBA WANAONEWA WANATAKA HAKI BASI AMANI IMEVUNJWA NA WATATEMBEZEWA VIRUNGU KISHA WATAKAA KIMYA NA AMANI ITAENDELEA HATAKAMA WALICHOKUWA ANALALAMIKIA HAWAWAKUKIPATA.

  INAONEKANA AMANI YA TANZANIA NI TATIZO MAANA IMEZAA WATU AINA YA 'NDIYO MZEE' NA 'SIO MZEE' HAWATAKIWI. NDIYO MZEE IMETUPA AMANI MADINI YANAKWENDA, WANYAMA WANPAKIWA KWENYE NDEGE, MADAWA YA KULEVYA, BIDHAA FEKI, WIZI NA UBADHIRIFU HUDUMA MBOVU N.K NDIYO MZEE NA AMANI SIYO MZEE NA VIRUNGU TENA NDIYO MZEE MANINI INARUDI. M:lol:AENDELEO JE?
   
 2. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  :lol:NI MIAKA MINGI TANZANIA IMEKUWA IKIJISIFU KUWA NI KISIWA CHA AMANI. NAOMBA NIULIZE MASWALI YA KICHIKOZI. JE, KUNA UWEZEKANO WA KUONGEZAKIPATO KWA KUTUMIA FURSA HII? KWA VIPI? JE, WATANZANIA WANAJUA KUWA KUWEPO KWA AMANI NI FURSA YA KUENDELEA? KAMA NDIYO MBONA HATUENDELEI? JE, KUWEPO KWA AMANI HAKUWEZI KUWA NI TATIZO? KWAMBA WAKATI TUNAJIVUNIA AMANI WACHACHE WANAPATA MWANYA WA KUCHOTA WATAKAVYO MAANA WATU HAWAPIGI MAKELELE KWA VILE YATATOROSHA AMANI. NIONAVYO MIMI KUNA HAJA YA KUPATA TAFSIRI SAHIHI YA DHANA 'AMANI'. NI NINI TUNDA LA AMANI? WAHENGA WALIKUSUDIA NINI KUSEMA KUWA AMANI HAIJI ILA KWA NJIA YA UPANGA? HIVI WATU WAKIPITA BARABARANI WAKIPAAZA SAUTI TU KWAMBA WANAONEWA WANATAKA HAKI BASI AMANI IMEVUNJWA NA WATATEMBEZEWA VIRUNGU KISHA WATAKAA KIMYA NA AMANI ITAENDELEA HATAKAMA WALICHOKUWA ANALALAMIKIA HAWAWAKUKIPATA.

  INAONEKANA AMANI YA TANZANIA NI TATIZO MAANA IMEZAA WATU AINA YA 'NDIYO MZEE' NA 'SIO MZEE' HAWATAKIWI. NDIYO MZEE IMETUPA AMANI MADINI YANAKWENDA, WANYAMA WANPAKIWA KWENYE NDEGE, MADAWA YA KULEVYA, BIDHAA FEKI, WIZI NA UBADHIRIFU HUDUMA MBOVU N.K NDIYO MZEE NA AMANI SIYO MZEE NA VIRUNGU TENA NDIYO MZEE MANINI INARUDI. M:lol:AENDELEO JE?
   
Loading...