MAKAMBA ampitisha mpwae OMAR KIMBAU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAKAMBA ampitisha mpwae OMAR KIMBAU

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by friendsofjeykey, Aug 12, 2010.

 1. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamba kashikwa pabaya na Omari Kimbau. Kalazimisha uchaguzi urudiwe kwenye makao makuu ya Kisiwa cha Mafia mpaka MPWA WAKE bwana OMARI KIMBAU kapita kwa kura tano huku watu zaidi ya 50 wakizuiwa kupiga kura na cha kuchekesha zaidi ni kuwa MJUMBE WA KAMATI YA SIASA naye hakuweza kupiga kura kisa? JINA LAKE HALIMO!

  Huyu huyu Omari Kimbau ndiye aliyekuwa anagawa pesa kama njugu hapa kisiwani na baadae akawa anatoa amri kwa polisi kukamata watu ovyo kisa ni wapinzani wake wa kisiasa.


  Yusuf Makamba na Mama yake Omari Kimbau ni ndugu na sisi watu wa Kisiwa hichi tunashangaa kwa nini aismtafutie huyu Omari jimbo huko Tanga kama alivyomtafutia January kule Bumbuli?


  Hivi sisi watu wa Mafia tumekufanyia nini mpaka ultulipe kwa hili ulilotufanyia wewe Makamba?


  Taarifa ni kuwa CCM mkae mkijua kuwa jina la Omari likipita sisi tunawapa jimbo hili CUF maana hata CHADEMA hatuwaoni.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mna kazi mwaka huu
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ASANTE mALARIA SUGU sorry friendof JK
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  mbona kazi rahisi mpigie chadema basi mtaona atakuja kuomba msamha
   
 5. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  watanzania wananishangaza sana, kwani huyo omari kimbau ameshakuw mbunge? kama hamumtaki kwani lazima mupigie kura ccm, vyama vipo vingi,asili yetu kweli kulalamika.
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mtu mwenyewe unayelalamika ni rafiki yake na JK. Na hako ndo kamchezo kenu, ka rushwa kila mahali. Sasa sisi unataka tufanye nini?

  Wewe unakuwa rafiki wa mfumo ambao unakutafuna na wewe mwenyewe? Nyie ndo kama wale waliokuwa wanawapinga viongozi wa Africa wakati wanapambana kumwondoa mkoloni nchini. Wanajua kabisa kwamba wazungu wanawanyonya na kuwakandamiza,lakini bado tu wanaendelea kuwasifia na kuwapinga waafrika wenzao.

  Ndiyo kama wewe, unajua kabisa JK na CCM yake ni UOZO mtupu, yet unajitambulisha rafiki yake JK? Humu kuna CUF na CHADEMA, tukusaidiaje? Tunachoweza kukwambia ni kwamba wakati umefika wa wewe kubadilika. Hee amka usingizini, CCM ni Chama Cha Mafisadi, na wanafisadi tangu kura hadi uji wa wagonjwa hospitalini.

  Waambie na wenzako kwamba kura ni kwa CHADEMA au CUF.
   
 7. u

  urasa JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je takukuru watakuwa na ubavu huko?
   
 8. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kura wapeni wapinzani hao ccm wanachosha na huu mtindo wa undugucheo!!!!!!!!
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kuwa mwanasiasa, Yusufu Makamba alikuwa msanii mtoa burudani fulani kule jeshi la wananchi. Kuchaguliwa kweke kwenye NEC ya CCM ambayo ndiyo ilifungua njia yake ya kisasa, alitumia kampeini ya kuwa nimewapa burudani kwa muda mrefu, sasa ni zamu yenu pia kunipa burudani kwa kunichagua kuwa muumbewa NEC.
   
 10. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa Kichuguu. Sasa iko tambua kama mtu una presha usisome JF maana unaweza kukutana na habari za ukweli
   
 11. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Nafahamu kuwa Dada Halima (Mke wa Ayoub Kimbau) anatokea Tanga,lakini nilikuwa sifahamu kuwa ni Ndugu na Mzee Makamba.Kama habari hii ni ya kweli basi CCM sasa wanaibaka Demokrasia,maana kama sio rushwa utasikia ubabe wa namna hii wa kutaka wanayemtaka Ashinde hata kama wananchi hawamtaki.Kuna nafasi nyingi za Wabunge wa kuteuliwa,ningemshauri Mzee Mkamba ampendekeze na Omari katika nafasi hizo ili kuwapa watu wa Mafia uhuru wa kumchagua mtu (kiongozi) wanayempenda.

  Omari ambaye Baba yake mzazi kanali mstaafu Ayoub Kimbau aliwahi kuwa kuwa Mbunge wa Mafia kwa kipindi cha miaka 25, (1975 - 2000)Mzee Kimbau alipata pia kumuandaa mdogo wake wa mwisho Dr.Hamis Kimbau (RIP) kuchukua nafasi hiyo.Hamis alifariki kabla ya kutimiza Azma hiyo_Omari ambaye ni Diwani wa Kijitonyama inaonyesha kuwa alishindwa ktk kura za awali,kwa kutumia uzoefu na ukaribu wake kwa Viongozi wa CCM wa Wilaya/Mkoa na Taifa walitaka uchaguzi huo urudiwe,kwa madai ya kuwepo rushwa na ukiukwaji wa taratibu nyingine za Uchaguzi.

  Si malalamiko hayo tu yanayoihusu Familia ya Kimbau katika uchaguzi huu,Dada yake Omari ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Ubungo,Mayasa Kimbau analalamikiwa kwa kushinda kimizengwe kwenye kinyang'anyiro cha Udiwani Kata ya Makuburi,Tawi la Makoka "A".Mshindi wa Uchaguzi huo alikuwa Ndg.Justine Sangu aliyepata kura 432 akifuatiwa na Bi.Mayasa Kimbau aliyepata kura 426.lakini kwa Mshangao wa wengi katibu wa CCM wa wilaya alimtangaza Bi.Mayasa kuwa ndio mshindi.Wakazi wengi wa Tawi hilo wamechukizwa na matokeo hayo na kutishia kuwa katika Uchaguzi mkuu wa Oktoba watawapigia kura Chadema.

  Kama Omar Kimbau atashinda katika kura za maoni,atakuwa amefuata nyayo za Wazazi wake kwa kuingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano,Mbali na Mzee Kimbau,ambaye kwa sasa ni mjumbe wa board ya AICC,Mke wa Mzee Kimbau Mama Halima Kimbau ni Mbunge wa CCM wa kuteuliwa kutoka Mkoa wa Pwani Wilaya ya Mafia.
   
 12. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Yule mama daktari mfanyakazi wa UN wameona hafai?
   
 13. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #13
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si hivyo tuuu ukweli ni kuwa Ushindi wa Omari Kimbau ni ushindi kwa CUF na CHADEMA

  Lakini kwa kukuongezea tuu huyu bwana Omari si mwadilifu na mfano mzuri ni uhuni alioufanya kwenye tenda za JWTZ. Nashangaa ilikuwaje ikawachukua mda mrefu JESHI wasimstukie kama ni tapeli na alikuwa ana supply bidhaa hafifu?

  Ahh jibu nshalipata kwa sababu inawezekana baba yake au Makamba ndio waliokuwa wanampigia cross kule MILITARY TENDER BOARD

  No wonder kwa sababu ya ufisadi na ufedhuli wake hakuweza kuongea na KINJE for 6 years baada kifo cha MWADILIFU bwana IPYANA MALECELA kisa? Omari alikuwa anataka apewe cheo alichokuwa anagombea IPPY na mbaya zaidi alihisi KINJE kamfanyia kiu mbaya kupitia kwa DEDI wake mzee KINGUNGE

  CHADEMA njooni mfungue matawi sie tsharudisha hizi kadi za CCM
   
 14. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #14
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UNAKOSEA UNAPOMWITA mama daktari JINA LAKE HALISI NI hawara wake DC wa Mafia bwana MANGOCHIE MANZIE ambaye jana wakati watu wanaendelea na kura aliamuru milango ifungwe kwa sababu alikuwa ANASKIA USINGIZI na watu zaidi ya 50 walishindwa kupiga kura

  huyu Mama kama alivyo huyo hawara wake mpinga demokrasia bwana Mangochie hatufai vile vile. Ubabe tuu wa kutisha wananchi utafkiri yuko kwao huko NCHINGA...useless kabisa.

  Hali ya wasi wasi imetanda hapa Kisiwani na tayari wenye kuingia maporini washaingia na itikafu haziishi. I predict mtu lazima atafanyiwa mambo yetu ya MBUYUNI maana naona Nazi zinavjunwa na CHADEMA wanalaumiwa kuchelewa kufungua matawi
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Aug 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi Omari kweli anaziweza siasa au anatafuta kula tu?
   
 16. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  friendsofjeykey kwa kuwa uchaguzi haujafanyika mbona kazi iliyo mbele yenu wana Mafia ni ndogo tu ifikapo tarehe 31st October 2010 ikiwa hamtaki huyu Kimbau awe mbunge wenu. WAPENI KURA WAPINZANI
   
 17. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  YES Mkuu NN, naona hii kansa inaenea kwa kasi..
  Maana kila aliye na uhusiano hata wa mbali tu na hawa vingozi wa kisiasa utasikia akigombea..
  Sidhani kama wanasukumwa na uwezo wao kugombea rather ni influence ya 'baba','mjomba' n.k...
  Huwa nawaza inatokea hawa "jamaa" wanakamata uongozi...sijui itakuwaje....
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,851
  Trophy Points: 280
  Wapinzani hawajaenda huko MAFIA....hawapo:mad2::confused2:
   
 19. a

  akilinyingi Member

  #19
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu akusamehe wewe unayejiita friendsof JK, ni wazi kuwa unahitaji maombi kwa mtazamo wako finyu katika karne hii ya sayansi, huyo mama mwenye digrii mbili msomi wa hali hiyo, kwa akili yako ndogo unadhani anahitaji kuvua chupi ili apewe cheo? ni msomi kuliko wanaume wote waliogombea, ana cheo kikubwa huko UN. DC wa MAFIA atampa nini? Ni wakati muafaka uamke na kujua sio kila mwanamke kwenye siasa anategemea rushwa ya ngono, najua unaongea hivyo na kumponda huyo mama na Kimbau eti tu kwa sababu huyo ajiyefoji cheti Buji, kwa jina halisi Mohamedi kashindwa hatuhitaji vihiyo yeye ni dereva akaendeshe magari huko. nasikia kaishia kuona mke wa kisiasa na siasa zenyewe haziwezi.
   
 20. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Udiwani ulimshinda, Ubunge atauweza?
   
Loading...