Ushauri kwa wa-tanzania wote-kikwete nakukubali kwa machache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa wa-tanzania wote-kikwete nakukubali kwa machache

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Technician, Jan 5, 2012.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]USHAURI KWA WA-TANZANIA WOTE-KIKWETE NAKUKUBALI KWA MACHACHE.[/FONT]
  [FONT=&quot]Kupanda kwa garama za maisha ni suala mtambuka ,kila sehemu ya maisha ya mwananchi katika nchi husika ni suala lisilopingika.[/FONT]
  [FONT=&quot]Nimeona niwashauri waTanzania wenzangu kukubali kupanda kwa garama za maisha kama kigezo cha mabadiliko ya Tabia nchi pamoja na mabadiliko ya sayansi na Teknolojia ambayo kwayo hatukujiandaa nayo na sasa ni wakati wa kwenda kwa kasi ya mabadiliko hayo.[/FONT]
  [FONT=&quot]Ni Ukweli usiopingika kwamba serikali yetu haikuwa tayari au haikugundua mapema athari za mabadiliko ya Tabia nchi na mwendo kasi wa sayansi na teknolojia ya sasa kitu ambacho kinasababisha mabadiliko ya kila sekta ya Siasa,Uchumi,Utamaduni na Sayansi ya leo.[/FONT]
  [FONT=&quot]SI KWELI Kwamba sababu kubwa ya umaskini wa Mtanzania ni kuporwa rasilimali zake,bali ni pamoja na sababu zifuatazo:[/FONT]
  [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]Uvivu na uzembe wa kufanya kazi kwa Juhudi na maarifa [/FONT]
  [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]Utaifa / Uzalendo (Patriotism) [/FONT]
  [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]Ubinafsi ([/FONT]faction[FONT=&quot])[/FONT]
  [FONT=&quot]
  UJUMBE[/FONT]


  [FONT=&quot]TUPANDISHE BEI YA KILA KITU HAPA TANZANIA ILI PAWE LANGO KUU LA BIASHARA UKANDA WA AFRIKA YA MASHARIKI NA AFRIKA KWA UJUMLA.[/FONT]
  [FONT=&quot]HATA HIVYO NI VITU VICHACHE TUU AMBAVYO BADO HAVIJAPANDA MPAKA SASA AMBAVYO NI:[/FONT]
  [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]NAULI ZA MABASI YA DALADALA TOKA 300-500[/FONT]
  [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]KODI ZA NYUMBA IPANDE KWA 100% KULINGANA NA MAENEO[/FONT]
  [FONT=&quot]
  ONYO NO.1[/FONT]


  [FONT=&quot]NI MARUFUKU KUPANDISHA MISHAHARA YA WAFANYAKAZI WA SECTA ZOTE MAANA WATASABABISHA KUPANDA KWA GARAMA ZA MAISHA YA WATANZANIA WENGI KUKIMBILIA KUAJIRIWA BADALA YA KUJIAJIRI.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  ONYO NO.2[/FONT]


  [FONT=&quot]NI MARUFUKU KWA WAKULIMA KUUZA MAZAO KWA BEI NDOGO MAANA WATARAHISISHA MAISHA YA WATU WANAOKIMBILIA MIJINI NA WASIOPENDA KULIMA .[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sikulaumu ila ndio ukomo wako wa kufikiri ulipofikia.
   
Loading...