Rais Kikwete, miezi 2 iliyopita dagaa kilo moja ilikuwa tsh 3000, leo hii dagaa tsh6200.
Nina watoto 3 wanaosoma, siwezi kuwalisha. Nyama siwezi kununua, na hata dagaa siwei kununua kwa mshahara...
Kama vyombbo vya habari nchini - hasa vile vinavyodai kuwa viko huru - vinaamini kuwa makala ya Mwigamba ni makala ya maoni na kuwa maoni yake yanalindwa na uhuru wa maoni basi vyombo hivyo...
Kwenye Biblia katika kitabu cha Mwanzo, baada ya mwanadamu kuasi, alipewa hukumu iliyosema kwa jasho lako utaishi. ukiendelea kuisoma Biblia, kuna mpambanu mwing wa kuhusu ajira, ujira na hata...
Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Nishati na Madini ana mkakati mkubwa wa kubadili utendaji wa wizara hiyo na kuifanya kuwa na ufanisi mkubwa kwa kuifanya Wizara kuwajibika ipasavyo...
Mjadala juu ya hali tete ya sintofahamu ndani ya Chama cha Wananchi CUF unachukua sura mpya. Mtatiro yupo TV nyingine na version ya upande mmoja wa Sarafu na soon HAMAD Rashid atakuwa Star TV...
Mwaka mwingine wa uhuni na vurugu chama tawala
Jenerali Ulimwengu
Ni mwendelezo ununuzi nafasi za uongozi
HAUHITAJI kuwa nabii kugundua kwamba mwaka huu utakuwa na mivutano na misuguano...
Jambo hili la Halmashauri kutwaa na kisha kuziuza tena Ardhi naona ni kinyume cha Katiba yetu na pia ni kinyume cha sheria Mbalimbali. Halmashauri inapotaka kutwaa Ardhi kutoka kwa wananchi ama...
Wakazi wa manispaa ya Singida na maeneo ya jirani mnakaribishwa kuja kuwasikiliza makamandawatakuwa viwanja vya stand ya zamani Singida mjini.jitokezeni mje kuwasikiliza watu wenye nia ya dhati...
Napanga kugombea ubunge Jimbo la Mafia. kwa kweli tayari vigogo kadhaa wenye pesa wanahaha kuleta ndugu zao au wao wenyewe kujitosa.
Wapo watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha ambao wamepanga kwenda...
Chama cha Mapinduzi ni chama ambacho katika uanzishwaji wake kilikuwa na malengo ya dhati ya ukombozi si tu kwa mtanzania lakini pia bara zima la Afrika. Ni vigumu kwa mtu mwenye akili timamu...
Wazanzibari wakiwa katika mjadala wa wazi kuhusu mchakato wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)
Na Ahmed Rajab
KUNA...
Tarehe 27 Novemba 2010 EL alikutana na Waandishi wa Habari. Na tarehe 19th October mwaka huu tena amekutana na Waandishi. Alichokisema mwaka jana na alichosema tena mwaka huu hakina utofauti. Japo...
Habari zenu waungwana.
":..........Saudi Arabia yapiga marufuku wanaume kuwauzia na kuuza chupi na sidiria kwa wanawake kama njia ya kutunza maadili na heshima ya wanawake..." Hii ni katika...
Ndugu Mtatiro naibu katibu mkuu wa CUF umekua ukisema kuwa CUF imekuwa haitoi posho kwa viongozi na upo CUF siyo kwa ajili ya kuchumia tumbo,Hamad Rashd ndani ya startv kasema ulipewa sh...
magazeti ya mtanzania na majira mnamo januari 02,2012 yalitoka na moja ya story kurasa za ndani kwamba el alishangiliwa sana pale jina lake lilipotajwa katika shairi huko kahama sasa mwenyekiti wa...
Nimesoma ktk MWANANCHI leo kuhusu sakata la posho mpya za Wabunge na na Ndugai kumshukia Sumaye. MWANANCHI walitaka maoni ya Dk Bana wa UDSM.
Badala ya kutoa maoni yake juu ya 'mzozo' wa Ndugai...
Mhe. Abdulkarim Shah
Ulionyesha ujasiri na uzalendo pale mafuriko yalipo tokea Dar es Salaam. Lakini katika swala hili vipi? Tunaomba utupe update.
Daily News | 20 feared dead in dhow accident