Mhe. Abdulkarim Shah upo wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Abdulkarim Shah upo wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kichwakigumu, Dec 28, 2011.

 1. k

  kichwakigumu Senior Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Una kichwa kigumu sana
   
 3. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  Mkuu, yaani Bulji kujitokeza pale Jangwani na kale kamtumbwi ndo ishakuwa nongwa?! Kwahiyo ulitakaje?! ulitaka aende akapige mbizi baharini akawatafute hao ambao hawajaonekana?!
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asharudi na yeye serengeti kwenye mapumziko
   
 5. J

  Jicho langu Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kichwa kigumu kama lilivyo jina lako ni mgumu kuelewa inakuuma sana kuwaokoa waathirika wa mafuriko in short hyo boat si ya mafia ni uzushi bulj ameingia mafia Leo kufatilia suala hilo unafiki huo wewe ni mpambe wa mbaraka dau usilete ubaguzi wenu mafia cc hatuko hvo na ukome......
   
 6. b

  bab aziziya Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yuko Ilala kwa mkewe
   
Loading...