Mtatiro,unasemaje kuhusu hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtatiro,unasemaje kuhusu hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makamuzi, Jan 6, 2012.

 1. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ndugu Mtatiro naibu katibu mkuu wa CUF umekua ukisema kuwa CUF imekuwa haitoi posho kwa viongozi na upo CUF siyo kwa ajili ya kuchumia tumbo,Hamad Rashd ndani ya startv kasema ulipewa sh 128million wakat wa kampeni igunga,hilo unasemaje au nini maoni yenu wana JF?
   
Loading...