Kamanda Tundu Lisu na Isango Joseph kuunguruma Jumamosi stand ya zamani Singida

dhahabuinang'aa

Senior Member
Aug 10, 2011
134
28
Wakazi wa manispaa ya Singida na maeneo ya jirani mnakaribishwa kuja kuwasikiliza makamandawatakuwa viwanja vya stand ya zamani Singida mjini.jitokezeni mje kuwasikiliza watu wenye nia ya dhati kuitumikia hii Nchi.kila atakaepata taarifa hii amujulishe na mwenzake.

mda ni saa 16:00
saa kumi jioni

nawasilisha.
 
Ni wakati gani hawa wananchi wanafanyakazi za kujiletea maendeleo kama kila cku ni mikutano, na hakuna jipya watakaloambiwa zaidi ya kusikia hadithi zile zile., angalau bs muwaletee wananchi habari zinazohusu maisha yao wakati uliopo na mahali walipo, lakini utasikia yatakayozungumzwa hapo ama masuala ya chama tawala na viongozi wake jambo ambalo haligusi maisha ya kila cku ya wanasingida.
 
waache wakaeleze ndugu zao wanavyonyonywa!! waende kuwaambia wanayaturu na wanyiramba wenzao jinsi mwarabu anavyowanyonya kwa unbunge walio amaua kumpa kwa kuhongwa fedha na khanga leo mwenzao anawafanya mtaji, waende kuwaleza jinsi mbunge wao wa viti maalumu Martha Mlata alivyoamua kujiunga dhahiri shahiri na Fisadi Lowassa badala ya kujiunga kuwatumikia wananchi wake walio katika dimbwi la umaskini, nendeni makamanda mkaseme bila woga wala hofu
 
Nilijuwa mapema kuwa hawana sera wala jipya, sasa ya lowasa yanahusu nini? Ndio jawabu la matatizo yao? Mkiambiwa hamjakomaa kisiasa mnang'aka, haya lisu kawaimbie hizo nyimbo kisha uwaache bila jawabu la kutatua shida zao.
 
Dah! nimeondoka siku chache tu Singida, ningeendakuwapa company makamanda.
 
Wakazi wa manispaa ya Singida na maeneo ya jirani mnakaribishwa kuja kuwasikiliza makamandawatakuwa viwanja vya stand ya zamani Singida mjini.jitokezeni mje kuwasikiliza watu wenye nia ya dhati kuitumikia hii Nchi.kila atakaepata taarifa hii amujulishe na mwenzake.

mda ni saa 16:00
saa kumi jioni

nawasilisha.
Mi nadhani mikutano ya mijini ipungue ili nguvu kubwa ielekezwe vijijini, huko ndiko kura za Dr zinaibiwa na magabmba.
 
Back
Top Bottom