Jk Sumatra na Ewura vina kazi gani?

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
19,011
11,942
Jk tunaomba utueleze kazi za SUMATRA na EWURA, sisi wengine hatuzijui zinahusika na nini?
 
Jamani nishtulieni mkulu huko anipe majibu yangu,maana sielewi kazi za hizi sekta ila ninajua wanakula mishahara minono ya kodi zetu,je wanafanya kazi gani?
 
Back
Top Bottom