Mtatiro live channel 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtatiro live channel 10

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIROJO, Jan 6, 2012.

 1. K

  KIROJO Senior Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mtatiro ana bwabwaya anasema HR anaharibu chama kwenye vijiwe,ANASEMA YEYE HANA NIA kuwania ukatibu mkuu na Jussa naye hana
   
 2. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Akiwa kwenye kipindi cha Baragumu cha chanel 10 kuendeleza taarabu kati ya HR na Cuf, Mtatiro amekiri kuwa wameshtuka kwa nini Cuf inapoteza heshima.
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ni vizuri kwamba wao wenyewe wamekiri kwamba chama chao kinapoteza heshima; hata hivyo wanapaswa kutafuta sababu hasa ya tatizo hilo na siyo kuibua visingizio vya kufukuza wanachama wanaokosoa mfumo uliopo
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa kweli hili suali wakishindwa kulishughulikia kwa uangalifu litawashughulikia wao.
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  hana jipya...akisha hama chama atakuwa salama zaidi.
   
 6. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu nae hamna kitu kama wanafaham hilo Hamad Rashid wamemtimulia nini, si alikuwa anapiga kelele hizo kuwa chama kimepoteza hadhi na heshima mbele ya macho ya watanzania.
   
 7. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anajua leo? Wakati trend ya matokeo ya urais inaonesha wazi jinsi kinavyoshuka kwa kasi! Ache hizo sijui kafanya utafiti kujua kwa nini kinashuka? na nani anachangia kukishusha? Je kutokana na kulijua hilo haoni ni muda muafaka kubadili uongozi kama wanataka kuleta fikra mpya ndani ya cuf?
   
 8. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama tatizo ni cuf kupoteza heshima basi viongozi wote wa cuf wanahusika na si Hamad peke yake
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mtatiro go to the hell with your rubbish the so called CUF
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Profesa wa pumba hajui chama chake kinafanya nini mpaka muda huu, anatengeneza cv ya kuzugia wakati wa uchaguzi.
   
 11. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mtatiro hakuna kitu pale. Siasa za chuki.
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kwani Mtatiro ndio nani?
   
 13. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sioni sababu ya msingi HR kufukuzwa CUF! Sababu za kumfukuza ziko very weak. Eti alipiga picha na Mizengo Pinda na kuleta image mbaya ktk chama cha CUF; Eti hachangii chochote Bungeni n.k.
  Mgogoro wa HR na chama chake ulianza kufukuta mara baada ya HR kutangaza nia ya kugombea nafasi ya U-katibu mkuu wa CUF nafasi ambayo baadae ange
  gombea U- makamu wa Rais au Rais wa Zanzibar. Maalim Seif ameanza kuchoka kisiasa.
   
 14. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sababu za CUF kupoteza heshima mbele ya watz ni ndoa, ndoa liyokitoa kwenye nafasi ya kuwa chama cha upinzani na kukiacha katikati bila kuwa chama tawala. Katka hali hiyo wanaCUF hawawezi kuendesha siasa za upinzani wala hawawezi kuendesha siasa kama watawala.
  Hili ndilo pia aliwalaumu mbowe alipowaambia kuwa CUF wameua upinzani kule zanazibar.
  Na haka katabia ka siasa za muafaka kanaanza kuota mizizi africa, yaani mtu unamshinda kwenye uchaguzi, anatumia nguvu za dola kujirudisha madarakani halafu anakuziba mdomo kwa kukulambisha asali ya muafaka (umoja wa kitaifa), Umoja gani huo ambao anafaidi maalim tu?
   
 15. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mtatiro umepotea vibaya sana, CUF iklishapoteza mvuto na heshima huku bara kitambo sana, tunajua ulipomaliza chuo CUF walikununua but kwa siasa za sasa umepotea sana mtu wangu,CUF haiwezi tena kubeba matumaini ya watanzania kama ilivyokuwa hapo awali,endeleeni kulumbana sisi CHADEMA tunazidi kujiimarisha.
   
 16. k

  kiomboi JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  yuko wapi lipumba?
   
 17. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  anakula maisha USA..kashaona usanii wa Maalim utamrostisha.
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Game ya Kumfukuza HR ilichezwa kitambo pale Chimwaga!
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  :poaCUF cha ajabu sana.
   
 20. c

  cr9 Senior Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa nilikuwa namuamini sana hasa wakati tupo chuo mlimani akiwa kiongozi ndani DARUSO utamkuta na gwana na Mabuti alikuwa na msimamo sana yaani bomba la kiongozi. Lakini sasa hivi sijui SEIF kampa nini au kamuahidi nini yaani ukiwa unatetea kitu usichoamini unaonekana wazi kabisa akili zako zimeisha. Yeye angoje zani yake ya kupigwa chini maana atakapo chukua fomu watamuambia huyu sio Mzanzibari wa Mzanzibara.

  CUF ilishafikia peak (turning point) ya maendeleo yake kilichabaki ni kushuka umaarufu labda wakitaka kurudisha heshima yao SEIF na waanzilishi wake pamoja na viongozi ving'ang'anizi waondoke wapishe mawazo mapya. yaani wanashindwa hata na CCM bwana
   
Loading...