Natangaza nia jimbo la Mafia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza nia jimbo la Mafia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Nov 30, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napanga kugombea ubunge Jimbo la Mafia. kwa kweli tayari vigogo kadhaa wenye pesa wanahaha kuleta ndugu zao au wao wenyewe kujitosa.
  Wapo watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha ambao wamepanga kwenda kuifilisi mafia na sio kuleta maendeleo.
  wanahaha kila Upande kutaka kusimamisha ndugu zao
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ....ha ha ha!
  .....mpwa bana dah!
   
 3. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kudadadeki! Naona kama yule mgombea wa kule igunga. Alikuwa na mziki na wafanya kampeni kama 5 hivi! Ha ha ha!
   
 4. k

  kilindoni New Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wepi hao walioleta ndugu zao kugombea ubunge Mafia?
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Kila la heri....hata Batilda aliwekwa na vigogo...
   
 6. J

  Jicho langu Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  DR Dau anampigia Debe ndugu yake FULE Mbaraka Dau si waende kwao MBEZI wakagombee
   
 7. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mbezi ataenda Mwantum

  Mafia ataenda Muba

  Mkuranga kijijini ataenda Bui

  khalas!
   
 8. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naona waswahili mnaanza kubaguana.....just remember katika macho ya wengine mtaendelea kuwa waswahili tu.....
   
 9. b

  bab aziziya Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mafia kuna mafuta?
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Nimesikia good news zitatolewa mapema mwaka huu kuhusu mafuta. Ngoja ngoja yaumiza matumbo!
   
 11. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  alaaaa!! ndo maana wamekazana kujenga uwanja wa ndege kiwango cha rami kama wale wa Taifa fulani wanavyokazania kwa karibu ujenzi wa barabara kiwango cha rami toka songea hadi Namtumbo kwenye Uranium. Ukiwa mbunge kule usikubali kiwanja cha ndege cha kutua cesna tu - zinatakiwa kutua jumbo kule - kisiwa ni lulu kile kwa Tz
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wewe ni nani? Jitambuloishe tukufahamu
   
Loading...