Maswi ahidi kubadili utendaji wa Wizara ya Nishati na Madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswi ahidi kubadili utendaji wa Wizara ya Nishati na Madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Jan 6, 2012.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Nishati na Madini ana mkakati mkubwa wa kubadili utendaji wa wizara hiyo na kuifanya kuwa na ufanisi mkubwa kwa kuifanya Wizara kuwajibika ipasavyo. Tetesi za ndani ya wizara zinasema kuwa jamaa amesema kuwa hatawavumilia wazembe. Je ataweza mwenye CV yake atujuze.
   
 2. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Apunguze ujuaji na mambo ya show off '' nilikuwa naongea na simu na prezidaa, mara aah nilikuwa nachat na PM.................
   
 3. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asilete ubabe, atatue tatizo la umeme.
   
 4. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Wataalamu kaeni standby huyu jamaa ''anajua '' kila tu...................Nitafurahi sana kama ataondoa kutokuwajibika
   
Loading...