Edward Lowassa naye ana ugonjwa wa kusahau? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward Lowassa naye ana ugonjwa wa kusahau?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Omutwale, Oct 21, 2011.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tarehe 27 Novemba 2010 EL alikutana na Waandishi wa Habari. Na tarehe 19th October mwaka huu tena amekutana na Waandishi. Alichokisema mwaka jana na alichosema tena mwaka huu hakina utofauti. Japo ahadi alizotoa mwaka jana, mwaka huu akuzitolea taarifa kueleza amefikia wapi kiutekelezaji.

  Kwa ufupi mwaka jana alieleza kusitisha uvumilivu dhidi ya waandishi na akatishia kuanza kuwachukulia hatua za kisheria na kinidhamu kupitia mahakama na MCT. Ni mambo yaleyale kayarudia tena baada ya mwaka mmoja. Hapo chini, nimechukua rejea toka vyombo viwili tofauti ili kukuonyesha mikwara na usahaulifu wa Wanasiasa wetu.   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hawezi kukumbuka! Ni kelele za raia waliochoshwa na ufisadi anaoufanya kwahiyo zikizidi anatafuta namna ya kuwanyamazisha kwa vitisho! Hana jipya huyu. Anafukuzwa na jinamizi linalomnyima usingizi!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  huwa natamani mtu mwenye kujua historia sahihi ya EL ailete hapa
  hasa historia ya kabla ya kufika chuo
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kabla ya kwenda chuo alitokea shule ya sekondari ya Ilboru. Hapo alisoma high school!
   
 5. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Natumaini wapo watu hapa wanaijua vema. Maana hapa ukisema jina kamili tu la Mtanzania wa kati awaye yeyote yule, lazima kuna mwana JF ana dondoo zake. Na si ajabu ukipekua kwa utulivu threads toka Jambo mpaka Jamii utapata kumjua kupitia JF. Nakumbuka miaka ya nyuma (sikumbuki jina la memba) ziliwahi kuwekwa hadithi zake za ujanani, ushiriki wake katika UVCCM mpaka jinsi alivyoiba n'gombe wa familia akawavusha kwenda Kenya, akawauza na kisha Baba yake kumshtaki kwa Nyerere ikiwa ni hatua ya Mzazi kuona kijana wake kashindikana kabisa.
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu omutwale nakupa big up sana kwa thread hii fikirishi, kweli wanasiasa hasa wa ccm kitu pekee wasichoweza kukuongopea ni majina yao tu!
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kama hataki kuandikwa na vyombo vya habari ni vyema akaachana na siasa awe kama mimi. Natamani siku moja akutane na wahuni wa chadema wamzomee. Hapo atatia akili.
   
 8. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Wahuni wa Chadema..!!!?
  Mkuu wewe ni muungwana (mstaafu) wa chama gani?
   
 9. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kumbe Lowasa wizi kaanza siku nyingi,kweli jasiri haachi asili.
   
 10. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Lowassa ni Mmeru aliyekimbilia na kujibambika uMmaasai hana jipya.

   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pengine hiyo itaturahisishia mijadala yetu humu maana inawezekana tunamuonea kwa kitu ambacho hakikutakiwa kujadiliwa.
   
 13. l

  luckman JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mmang'ati bwana sio mmasai wala mmeru!
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Laigwanan Lowasa anawakimbiza sana akina Mbopo na Membe wake
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  "Njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe"
  by bujibuji.
   
 16. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Maskini weee! Wakati yeye ndiye anayetafuta tindikali mpya!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  angekuwa na ugonjwa angekumbuka ya 97?
   
 18. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  The Boss,
  Natumaini mwaka huu umeanza vema kwako. Sasa historia uliyohitaji kusikia juu ya EL inatolewa na Mtoahabari kwa upana katika uzi huu:


   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni vema tukaipata historia yake ya nyuma but EL is not bad as JK
   
 20. kalukamise

  kalukamise JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  To start with yeye ni Mmeru kalelewa na mzee Lowasa, hana mjomba masai.....just passing will be back later
   
Loading...