WATANZANIA NA HASWA WATANGANYIKA NI HODARI MNO KWA KUSHANGAA MAMBO.
1. WATANGANYIKA WANASHANGAA ZANZIBAR KUWA NA BENDERA YAKE, WIMBO WAKE, MIPAKA YAKE N.K.
2. WATANZANIA WANASHANGAA KUPANDA KWA...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.Wilbrod Slaa, ameiumbua tena serikali ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kwa kufichua waraka maalumu wenye lengo la kudhibiti na kufuatilia...
Enzi za kumwaga sera majukwani zimeshapitwa na wakati. Tunataka viongozi wanaofanya kazi kwa vitendo, si kutandikiwa mikeka wanapopanda miti kwa ajili ya picha, ila wazame kwenye tope na kuchimba...
Ukipita Fuoni utakuta Hekalu, ni jumba sawa na Ikulu ya Zanzibar.
pembeni mwa kasri hilo linalokaliwa na vijana huku mzee akiishi nyumba ya Gov kuna wazanzibar wenye vijumba vya Tope na...
LAITI MHESHIMIWA SITTA ANGEJUA URAMBO INAVYOTAFUNWA VITA YA UFISADI ANGEIHAMISHIA JIMBONI MWAKE
Nduguwana Jf,
Kupitia safu hii napenda niufahamishe umma wa watanzania na hasa tume ya maadili ya...
Katika hali isiyotarajiwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa juzi, ilibuni mbinu za kuzuia kutangazwa kwa mkutano wa Dk. Slaa baada ya kuitisha kikao na waandishi wa habari wa vyombo vyote...
Nilikuwa nikiangalia TV sherehe za Mapinduzi.
Wakati wa Kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na Polisi, Shein,JK,Bilali walipigiwa Saluti ya heshima.
mara baada ya...
kwa takwimu za 2oo7 ni hekta 12,655 za kahawa mkoa kilimanjaro zilikuwa zinazalisha tani 1800 tu.sasa kadri siku zanavyosa hali inazidi kuwa mbaya,ili hali wilaya ina hekta 46,506 zinazofaa kwa...
Katiba ya sasa, ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejaa mapungufu mengi ambayo, yanapelekea nchi kukosa mwongozo, kila wakati migogoro ya uongozi ndani ya vyama vya siasa, inapojitokeza. Kwa...
Hii ni kutoka chanzo kimoja cha habari,chanzo kilidai kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza kuwa na demokrasia nzuri kati nchi tano za jumuiya ya Afrika Mashariki,na ni ya 90 duniani,je! Kuna ukweli...
BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha ) limemtaka Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, kutoingilia masuala ya chama hicho huku likitamba kuwa nguvu ya umma ndiyo iliyotumika kupambana na...
JK apokewa kwa, vilio Mabwepande
Saturday, 14 January 2012 09:00
Mkazi wa Mabwepande akiwa watoto wake huku akilia wakati akimwomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie ili walipwe fidia...
WanaJF,
Nianze kwanza kwa kuwakumbusha jinsi ambavyo JF ilifanikiwa sana kwa kuwekwa barua ya Balali ya kujiuzulu hapa JF na story hiyo ikaenea kwenye vyombo vya habari Tanzania kiasi cha kufikia...
Wajumbe wa BAVICHA chini ya kamanda John Mnyika leo wako Kibaha Mjini katika warsha inayofanyika kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yahusuyo mustakabali wa vijana nchini. Warsha hiyo ya siku...
Wakazi wa Mji wa Musoma juzi wametoa kauli ya Maandishi(Barua)kwenda kwa Spika inayotaka Maamuzi na mapendekezo yote yaliamuliwa,kupitishwa au kuridhiwa na Bunge Yazingatiwe na si Vinginevyo...
JAMBAZI sugu Pokea Kaaya `Steven Kaunda aliyekuwa anasakwa na Polisi kwa kumpiga risasi na kumwua askari kanzu na kumjeruhi kwa risasi begani Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Arusha (OC-CID)...
JK apokewa kwa, vilio Mabwepande
Saturday, 14 January 2012 09:00
Mkazi wa Mabwepande akiwa watoto wake huku akilia wakati akimwomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie ili walipwe...