CCM yafanya umafia kumzima Dr Slaa Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yafanya umafia kumzima Dr Slaa Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jan 13, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Katika hali isiyotarajiwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa juzi, ilibuni mbinu za kuzuia kutangazwa kwa mkutano wa Dk. Slaa baada ya kuitisha kikao na waandishi wa habari wa vyombo vyote katika muda ambao katibu huyo wa CHADEMA alikuwa akihutubia.

  Habari za uhakika kutoka ndani ya CCM, zilisema kuwa ingawa ilidaiwa kuwa mkutano huo na waandishi wa habari ulikuwa na lengo la kumtambulisha katibu mpya wa chama hicho wilaya ya Mbeya mjini ambaye amefika baada ya yule wa awali kuhamishwa, lakini nia kubwa ilikuwa kuukwamisha mkutano wa Dk. Slaa.

  Habari zinadai kuwa CCM iliwaambia waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo kuwa walitaka pia kuzungumzia masuala yahusuyo mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya ambapo wamelenga kutuma makada wa chama hicho kuelimisha umma juu ya jambo hilo.

  Katibu mpya wa CCM wilaya, Raimond Mwangwale, alisema uelimishaji huo utafanyika siku tatu mfululizo kuanzia Januari 12, katika kata 36 za jimbo la Mbeya mjini.

  Mmoja wa makada maarufu wa CCM alilithibitishia Tanzania Daima ukweli wa mkutano huo na waandishi, ingawa alikiri kuwa mbinu yao haikufanikiwa sana. Alikiri kuwa hotuba za Dk. Slaa zimekuwa na madhara makubwa kwa CCM na imekuwa ni vigumu zaidi kuzifuta katika akili za wananchi ambao wameonyesha kuamini kila akisemacho

  SOURCE:TANZANIA DAIMA
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Ni mteule wa MUNGU, Tanzania-Africa, kusini mwa jangwa sahara. tupme kura za ndio
   
 3. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,857
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa ni zaidi ya mkutano mchovu kati ya waandishi na Magamba
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kama kuna channel 2 kwenye TV,moja Dr Kikwete na moja Dr Slaa. Ntamwangalia Dr Slaa!
   
 5. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanakiri pia kuwa wana mwenyekiti wa chama bomu ambaye ni jk, janga la kitaifa na rais bomu
   
 6. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  CCM haina kitu imechoka jamani iacheni ikapumzike kwa amani. Hakuna kitu kisichokuwa na mwisho
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Uongozi wa chadema mbeya umesambaratika,kutokana na mambo mbalimbali ya kijamii na kiuchumi yanayojitokeza kila kukicha.viongozi hao wameiona chadema kuwa ni chama kisicho na mwelekeo zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano yasiyo na tija.
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wanahabari wamenunuliwa? Ngoja nimwambie DOTTO BULENDU.
   
 9. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  hojatete au hojachafu? Utaendelea kuwa kiba
  raka wa magamba mpaka lini?
   
 10. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  watu kama hawa wapumbavu sana mkuu.
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM a failure!! BIG failure yaani ni wezi watupu!
   
 12. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  slaa ni zaidi ya ccm na serikali yake
   
 13. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha.
  Pelekeni utunzi wenu kwenye vitabu vya hadithi.
  OTIS
   
 14. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kama zote zinamunesha jk mimi nazima zote

   
 15. L

  Luiz JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe mbona ni mwongo uongozi wa ccm hapa mbeya ndio unasambaratika kutoka na maovu yanayofanywa na Meya wa jiji la mbeya bw. Kapunga anayekwamisha miradi ya jiji letu la mbeya hadi magamba wenzie wanataka kumng'oa kutokana na vitendo vyake vya kukwamisha miradi ya maendeleo na ufisadi uliotukuka.
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kajifanyia umafia mwenyewe kutafuta mchawi ni kutaka umaarufu tu
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  source yenyewe tanzania daima ulitegemea nini. kama hakupata fursa hiyo maanake umaarufu wake mkoni mbeya unakwisha hakuna cha CCM wala CUF wala Mshirikina aliyetumwa kufanya fitna. Hivyo vyote ni visingizio
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Nitamwangalia JK
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Na wewe utaendelea kuwa kibaraka wa magwanda mpaka lini? mwache mwenzako kama ana imani na magamba
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kama zote zinamwonyesha Dr Slaa nauza TV zangu zote
   
Loading...