Musoma wamkabidhi Nyerere barua ya Msimamo wao Dhidi ya Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musoma wamkabidhi Nyerere barua ya Msimamo wao Dhidi ya Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Jan 13, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wakazi wa Mji wa Musoma juzi wametoa kauli ya Maandishi(Barua)kwenda kwa Spika inayotaka Maamuzi na mapendekezo yote yaliamuliwa,kupitishwa au kuridhiwa na Bunge Yazingatiwe na si Vinginevyo.
  Baadhi ya mambo yaliyoko kwenye barua hiyo ni
  1 Mapendekezo yaliyotelewa na kamati ndogo ya Bunge dhidi ya Jairo na wenzake yafanyiwe kazi.
  2 Hawataki kuona Ongezeko la posho linafanyika kwa Wabunge peke yake.
  3 Upanuzi wa Bandari ya Musoma ufanyike na sio kuhamisha bandari hiyo na kuipeleka Musoma vijiji eti kwa Kuwa CCM haikushinda.
  Wakazi hao pia mbali na Barua pia wameambatanisha Mahudhurio yao zaidi ya watu Elfu tano walioweka saini na Mahali wanapoishi,pia wamepeleka nakala hizo kwa vyama vyote vyenye uwakilishi Bungeni....
  MY TAKE:Badala ya Watanzania wengi kulalamika kwa Maneno ni Bora walalamike kwa Maandishi na kuonesha umoja wao bila Itikadi kuhusu maslahi ya Nchi nawakilisha..
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lovely,nchi nzima tungekuwa hv lazima serikali ingekuwa inaeleweka japo kidogo,
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  HOngera wana musoma, tupo nyuma yenuna aluta kontinua! bunge letu limezidi kulala! jairo na wenzake lazima wafikishwe mbele ya sheria, haswaa luhanjo na uttoh!
   
 4. a

  asmara Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ;;;,,,,,,,,,,,kukaa nyuma ni kuwazomea watu hao bali Unatakiwa kuwa bega Kwa bega nao.
   
 5. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mfano mzuri
   
 6. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tulizoea kulalamika vijiweni bila Kuchukuwa Hatua,sasa tumeuona Mwanga BIG UP Musoma(itikadi Nyuma)Tanzania kwanza
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hiyo
   
 8. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Huu ni mfano mzuri wa kuigwa na wote.
   
 9. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 2,180
  Trophy Points: 280
  kwanini uwe nyuma yao??acha kuwarudisha nyuma,kua mbele yao ili tujue kweli, unauchungu na nchi yako.
   
 10. R CHUGGA

  R CHUGGA Senior Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wilaya kama kumi zikifanya hivi nadhani serikali itabadilika!!
   
 11. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Angalau hata tano tu
   
 12. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,330
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  nyuma yao unafanya nini tena!!!kwani we wa Tanga au Mombasa!!!
   
 13. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tunangoja pia Hatua za vitendo
   
 14. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kabati lipo tena kubwa tu zitatupiwa humo
   
 15. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  kauli yako ina chembe chembe za ukweli kabisa
   
 16. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwanzo mzuri wa uwajibikaji, wananchi tukishika hatamu na kufanya maamuzi ya msingi kama haya, nchi itasonga mbele.
   
 17. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Watu wa pande hizo wanajua kudai haki! Sio wengine tumebaki kuremba tu kila siku huku umaskini unazidi kutufunika! Natamani kanda ya kati nao wangekuwa na huo mwamko!
   
 18. M

  MALAGASHIMBA Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Hao jamaa sio wa kuchezea,Nyangwine anafahamu
   
Loading...