Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki Mbili au tatu?

Halafu linachekelea ka zuzu.yaani jk kwei hamnazo mixa kilaza wa karne.he is not serious at all.duh?ngachokaaa baasii tena!!!
 
Hivi huyu si ndiye aliyepewa ma PhD ya kumwaga, ahahaha, kweli wabongo tunaongozwa na kilaza wa vilaza
 
Tuwe Fair Kidogo kwa Kikwete. If asked ningesema hili sio kosa Lake. I stand to be corrected!!
 
Tuwe Fair Kidogo kwa Kikwete. If asked ningesema hili sio kosa Lake. I stand to be corrected!!

Hivi unapokaribishwa "Kama Rais" kwenda kupokea zawadi au kutoa zawadi - hii "dummy cheque" si ni lazima ipitiwe na "wasaidizi" wake hili kuhakikisha kuwa hakuna "misleading" details na yatokanayo?
 
ni ngapi alipaswa apewe 3 au mbili. maskini ya mungu ye anachekelea tu katia dole hajui kinachoendelea.
 
Mpumbavu akikushauri kwa upumbavu nawe ukakubali then huyo mpumbavu amekudharau sana,so jk ni mpumbavu kwa kukubali huo upumbavu,na hao wenye cheki wamemdharau sana
 
Tuwe Fair Kidogo kwa Kikwete. If asked ningesema hili sio kosa Lake. I stand to be corrected!!
Sio kosa lake kivipi wakati hata hakuwa na haja ya kusoma kilichoandikwa zaidi ya kufurahia upuuzi tu ulioandikwa pale.
 
Nahisi huyu jamaa hata huwa anasaini vitu vingine bila hata ya kusoma Hahahaaaaaaa!
 
Kosa ni la bank ambao hawakuproof read alafu ata wasidizi wa raisi nao wana kosa.
Ila kwa wasidizi kwa kuwa bosi wao hayuko serious bila shaka ata wao watakuwa hawako serious ndo maana akawachagua kama wasaidiizi wake
 
Mi nawashangaa zaidi wabongo kwa kumchagua mtu kama huyu..kuna tatizo kubwa....najua alichakachua lakini hata zile halali alizopata kura ni nyingi(karibu 50%)..inafaa angepata kura za Dovutwa!!
 
Wangelikuwa ni kama wale Ma-DC waliokosea kujua Ambulance iyendee wapi angeshawagombeza mbele ya waandishi wa habari, lakini hao waliompa wamedhiihirisha ni rais wa kumchezea na hatatambua hilo yeye na watu wake na ilikuwa ni ghelesha kwani wanafahamu akili na binadaamu inaona na kutambua namba kabla ya herufi, kwanini hawakuweka laki mbili kwa namba na laki tatu kwa herufi ya maandishi??
 
Back
Top Bottom