Mnyika, Nape, Mtatiro na Mvungi wanapambana ITV ktk kipima Joto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika, Nape, Mtatiro na Mvungi wanapambana ITV ktk kipima Joto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 2015, Jan 13, 2012.

 1. 2

  2015 Senior Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  km kichwa cha habari kinavyojieleza mvungi ndo kaanza kuchambua hapa
   
 2. 2

  2015 Senior Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mada ni mamlaka ya kuwafukuza wabunge je yarudishwe kwa wananchi? sasa nape anaongea
   
 3. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tupo pamoja
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kipima joto ITV kinaendelea sasa.wageni ni Dr Mvungi NCCR,Nape -CCM,Mtatiro-CUF na MNYIKA-Chadema.
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Agenda ni hatua za vyama kutimua wanachama vizabizabina.........
   
 6. t

  tenende JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mada nzuri, ila nionavyo wote wataunga mkono hoja ya fukuzafukuza kwa mitizamo tofauti.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana JF.
  ITV: kuna mada ya wabunge na madiwani kufukuzwa kwenye nafasi zao..

  Wageni ni Dr Mvungi, John Mnyika, Julias Mtatiro, Nape Nnauye.
   
 8. t

  tenende JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tuko pamoja.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kipima joto ITV kinaendelea sasa.wageni ni Dr Mvungi NCCR,Nape -CCM,Mtatiro-CUF na MNYIKA-Chadema.mnyika anaongea sasa.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wanaongelea nidhamu zaidi,katiba,kanuni,maadili na itifaki ya chama ndo inaangaliwa zaidi
   
 11. 2

  2015 Senior Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  kaka umepatia kwa 100%
   
 12. m

  mkezwag JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 3,245
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Tujuzeni wakuu kinachoendelea
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  wanajadili:VYAMA KUFUKUZA WABUNGE NINI KIFANYIKE?. kipindi kinaendelea. Mia
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  mwaka 1968 mwl nyerere alifukuza watu 7 waliokuwa wanahoji kwanini chama kiwe juu ya Bunge? waziri mkuu alikuwa kawawa. Tanu walikaa kikao Tanga wakafukuzwa watu. anasema mnyika. Mia
   
 15. p

  pimbika Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnyika yupo juu, tazama anahamasisha kuliko Dr. Mvungi.
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  mnyika anasema CHADEMA wataendelea kuonyesha mfano kwa wale wanao tishia maslahi ya nchi au ya chama. mia
   
 17. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa. 100.
   
 18. p

  pimbika Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana Mnyika amechambua vizuri.
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwa kutunza nidhamu ya vyama fukuzeni tu!
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mnyika ni mtamu kumsikiliza na mapoint yake.
   
Loading...