Mhe Freeman Mbowe unajua haya? Zao la kahawa Hai ndiyo limekufa hivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe Freeman Mbowe unajua haya? Zao la kahawa Hai ndiyo limekufa hivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saashisha Elinikyo, Jan 14, 2012.

 1. S

  Saashisha Elinikyo Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa takwimu za 2oo7 ni hekta 12,655 za kahawa mkoa kilimanjaro zilikuwa zinazalisha tani 1800 tu.sasa kadri siku zanavyosa hali inazidi kuwa mbaya,ili hali wilaya ina hekta 46,506 zinazofaa kwa kilimo.haya ndiyo mambo yanayoshusha heshima ya shilingi na kudumaza uchumi.

  hakuna kahawa ya kuuza nje,hivyo kukosa pesa za kigeni.mhe mkulo tazama hili kuokoa uchumi wetu.wanahai sasa wakata kahawa zao na kulima mbogamboga,mbaya zaidi mmetuletea kiwanda cha maua kinachoathia mfumo wa upatikanaji wa mvua.

  Mhe mbowe haya mambo yatatufanya tutangaza nia ya kugombea mapema ili wewe ufanye kazi za chama kwanza
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hivi hujui ya kuwa Mheshimiwa Mbowe ni kati ya wale wabunge wanoamini kuwa kazi.ya mbunge ni kuitisha harambee kwa ajili.ya kuchangish fedha za kujenga makanisa na misikiti,hivyo kichwani hawezi waza mahitaji ya juml kwenye jimbo lake
   
Loading...