Ndesamburo-CHADEMA akubali Mahakama ya Kadhi!!

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
Amesema haoni sababu ya serikali kukataa kuanzishwa kw amahakama ya kadhi kikatiba na kutengewa pesa na serikali; kwani serikali inatenga fedha nyingi kwa mambo ya kisiasa na kusahau mambo yanayogusa jamii ya kiislam Tanzania; ili kuepusha kutokuelewana katika jamii..

Aitaka serikali kutenda haki dhidi ya waumini waislam na kuandaa bajeti kwa ajili ya mahakama ya kadhi kama ambavyo inatoa pesa za ruzuku kwa vyama vya siasa..

My Take:

Anasema kweli lakini itakubalika huko kwenye hierachy za chadema?? au anawauza waislamu kama Mrema enzi hizo???

Source: Michuzi Blog..
 
Kwani Uislamu ni chama cha siasa?
Huyu mzee kachoka nafikiri

Ametoa mfano wa pesa zinazotengwa kuendesha siasa; inaweza pia kutengwa kuendesha shughuli ya jamii ya kiislam. Kweli na support kauli yake lakini sijui kama itapata kuungwa mkono ..
 
Siamini kama ni kweli haya ni maneno yanatoka kinywani mwa Ndesamburo!
 
waislam walikubali kukutana na huyu mzee kwenye "Bar" ya keys,hicho sio kikao haramu kwa mujibu wa dini ya kiislam?wataalam wa dini ya kiislam tunaomba ufafanuzi kwenu,je ni sawa kwa waislaam kukutana Bar kunakouzwa pombe?
 
Kikwete alishakubali mahakama ya kadhi. Akawaambia Waislamu waanzishe wenyewe. Nakubaliana na msimamo huo.

Huo msimamo wa JK haufai; inatakiwa itambulike kikatiba na kisheria..otherwise ni changa la macho. ndesa amewaelewa waisalmu sijui lakini kama ataweza kupeperusha vema au itakuw akama alivyofanya mrema
 
huwezi kuamini, ila alisha waambia watu waende moshi waone waislamu na wakristo wanavyoishi. Hakuna ubaguzi na ni full kupendana na kuaminiana. Big up mzee Ndesa Pesa.

Kweli mkuu amesema kweli, lakini ataweza kupenya kwenye chama chake chenye wahafidhina wengi na wanaazi wa kikristo
 
kweli siasa ni kucheza na akili za watu.Ndesa pesa nae anajaribu kutumia janja ya siasa kcheza na akili za waislam.yangu macho.
 
waislam walikubali kukutana na huyu mzee kwenye "Bar" ya keys,hicho sio kikao haramu kwa mujibu wa dini ya kiislam?wataalam wa dini ya kiislam tunaomba ufafanuzi kwenu,je ni sawa kwa waislaam kukutana Bar kunakouzwa pombe?

Duh, hii sasa kali. Hivi mbona kumbi karibu zote zipo kwenye mahoteli na mabaa yanayouzwa pombe? Kwe Muislam haruhusiwi kuingia kwenye hizo kumbi kwa ajili ya harusi na mikutano mingine? Acha kukuza mambo. Hiyo Keys hoteli/bar nayo ina sehemu za kufanyia mikutano na mtu yeyote aweza kuingia....
 
cdm inajua wazi kuwa haikubaliki katika jamii ya waislam walio wengi na ni dosari hivyo inajaribu kutumia matatizo ya waislam ili kupata support yao.kulikuwa na thre humu inauliza chadema inajiandaaje kupata kura za waislam 2015,naona ndio majibu yameanza kupatikana.
 
Duh, hii sasa kali. Hivi mbona kumbi karibu zote zipo kwenye mahoteli na mabaa yanayouzwa pombe? Kwe Muislam haruhusiwi kuingia kwenye hizo kumbi kwa ajili ya harusi na mikutano mingine? Acha kukuza mambo. Hiyo Keys hoteli/bar nayo ina sehemu za kufanyia mikutano na mtu yeyote aweza kuingia....

Natumaini wewe ni mmoja wa wataalam wa dini ya kiiislam ndio maana ukaitika wito wangu mwanzo wa kutaka ufafanuzi juu ya hilo.Nayachukua maneno yako nikijiaminisha yametoka kwa mwanazuoni wa dini ya kiislam.Asante kwa ufafanuzi maalim!
 
mimi siku zote huwa nawaambiaga huyu mzee ni kichwa pamoja na kuwa amezeeka. nadhani na exposure imechangia sana kwani hata huko uingereza ambako anafanya biashara zake kuna mahakama ya kadhi.
 
..Mzee Ndesamburo kateleza.

..JK yuko sahihi kuhusu suala la mahakama ya Kadhi.

NB:

..mbona Mashekhe walikwenda Ikulu kuzungumza na Raisi kuhusu suala hili? Mmesahau kwamba wakati mwingine Ikulu huwa kunanyweka pombe???
 
Ndesa yuko sahihi sana..

JK haiwakuwa mawzo yake ila mawazo ya maaskofu (pure)

NB. Ndesamburo ameelewa kitu ambacho waislam tunataka, wasiwasi wangu ni kuwa ataweza kupambana na mfumo kristo?
 
Back
Top Bottom