Katiba mpya Pendekezo

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,776
Kufuatia hii sintofahamu iliotokea Igunga Mbunge kujiuzulu.
Vyama vya siasa kufukuza wabunge bila dressing !.
Na kusababisha chaguzi ndogo za marudio. Mf. Nimesikia gharama ya Chaguzi ya Igunga was about 19b. ! , leo tukifanya uchaguzi jimbo la Kafulila haitakua 19b. Itapanda may b 23b - 25b. Kwani kukicha gharama za maisha will much raise up !.
Bado Wawi ! Napendekeza ile sheria inayotumika katika ubunge wa nomination special seat (viti maalumu) kwamba anapobatilika mbunge wa viti maalumu kukoma ubunge kwa sababu zozote zile basi yule mgombea aliekua akimfuatia kwa idadi ya kura ndiye anaziba kiti hicho.
Sheria hii ikiwekwa na katika ubunge wenye majimbo itasaidia kuepukana na gharama hizi za chaguzi ndogo.
Na hasa hili wazo nimelipata nilipoona mipesa iliyotumika Igunga huku walimu bado hawajalipwa malimbikizo yao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom