NAPE: Ipo siku wananchi watawapiga mawe viongozi kwa unyonyaji' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE: Ipo siku wananchi watawapiga mawe viongozi kwa unyonyaji'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Leonard Robert, Jan 18, 2012.

 1. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Ameyasema hayo leo asubihi ndani ya MAGIC FM..

  Alipoalikwa kujibu hoja juu ya maneno aliyotoa ndugai kwamba,wanaopata posho kubwa si wabunge pekee bali ata wachungaji, NSSF,TRA achilia mbali TANAPA ambao ni kufuru..

  NAPE, amesema kuna siku alikua anakatiza mitaani akaambiwa na wananchi kwamba hipo siku tunapiga mawe hayo mavx yenu..
  Amedai gap linazidi kuongezeka kati ya viongozi na wananchi lakini pia amesema maisha yakipanda si kwa wabunge pekee, hivyo basi kupandisha posho si suluhisho amemalizia kwa kusema"ndugai nakuheshimu lakini kwa hili hapana"

  je kama amegundua hili kwanini asikili pia kuna uwezekano ccm kuondoka madarakani 2015.
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Karibu tuijadili hii kauli ya NAPE.
   
 3. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona washapigwa wengi tuu.....au tuanze kuwaorodhesha hapa hasa wa ccmafisadi
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  hahahaa........tuanze kuorodhesha sasa.......halafu leo anaweza akapigwa mawe tena.........
  chezea wananchi waliochoka wewe!!!
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  alikuwa anajichanganya tu,anadai ccm haitaikubalia serikali kufanya mambo yanayowaumiza wananchi wakati kila kiongozi ndani ya chama ni kiongozi ndani ya serikali.
  sasa anatuambia kuwa asubuhi usaini mkataba jioni uupinge.
  huu ni uendawazimu.

  mawe mtayala tu.
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,850
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  nape is like a drop in the sea..never takes action..a nagging b**ch
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  nazani bado hajawasikia au hataki kusikia kama kuna mawe yamesha rushwa ata kwa mkuu wa kaya.
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  yaani ni hatari tupu,eti wananchi wanaoichuki serikali ni wachache,eti matatizo yaliyo wakosesha majimbo ya ubungo na kawe wameyajua na wameyatatua na 2015 wanachukua majimbo yote Dar es salaam.
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,857
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  NGUGAI kwakikwetu ni mtu mwenye mtindio wa ub*ngo , sasa sijui
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  bahati nzuri wataanza na yeye..ameshindwa kujibu kuhusu mfumuko wa bei,eti ata kenya na uganda wana hali mbaya kama sisi hivyo si tatizo letu pekee
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  walimjua hata kabla hajawa kiongozi..
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa mmoja amepiga simu na kusema kwamba wananchi wamechoka..yeye amesema eti inabidi aseme mimi nimechoka sio sisi tumechoka,eti asiwasemee wananchi..maana bado wana imani na ccm.
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,369
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Kauli za nape si reliable kwan hana effect kwa lolote lile, yeye ni kama chombo kinacho tumika hivyo sitajadili kauli yake. Ndugai analo fanya ni kutaka kuhalalisha makosa yake kwa kutumia makosa yalotangulia kufanya
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,419
  Likes Received: 14,724
  Trophy Points: 280
  wapigwe mara ngapi?
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,117
  Likes Received: 10,439
  Trophy Points: 280
  umeona eee!
  Wanachotakiwa
  kufaham ni kuwa
  qananji kwa sasa wanaakili na hawaburuzwi
  kijinga!
  Watapopolewa sana
  tuuuu !waendelee
  na ujinga wao watakiona cha mtemakuni
   
 16. m

  makanga Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona walianza na mkuu wa ufisadi JK walimpopoa na mawe mbeya!! au nepi hakuliona hilo?
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  mkuu..si unakumbuka walidai eti ni wahuni wachache walimpopoa jk.
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Aluipokuwa DC Masasi hakuchukua hizo posho?
   
 19. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  posho kila sehemu ndo pakulia naona hata dokta anakula posho ndefu
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,927
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  hapo ndipo ndugai alipopata uhalali wa kujilimbikizia posho.
   
Loading...