Wazo La Leo Kutoka Kwa Masoud Kipanya

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kwakweli kwa hali hii sijui ni kiongozi gani atakayekuja kuokoa hili jahazi linalotusumbua wananchi kutokana na makali haya ya mgao wa umeme pamoja na kupanda kwa gharama hii ya nishati ya umeme! Big Up Kipanya lunch yangu itashuka vizuri leo.
Wazo la Leo Kutoka Kwa Kipanya.jpg
 
Namnukuu Mwalimu alisema Ikulu ni mzigo wa matatizo makubwa mno! R.I.P Mwalimu.
 
Ikulu haikimbiliwi, wanaoenda ikulu wana malengo. Ukiona mtu anataka kwenda ikulu just kwenda ujue ikulu itamshinda. Kama unamipango au washauri wako wanamipango madhubuti na unawasikiliza ikulu ni mzuri. Kaeni chini wale wote wanaotaka kwenda ikulu mjiulize mnataka kwenda ikulu kufanya nini.

Asante sana Masoud Kipanya (KP) si tu kwa katuni yako hii bali pia kwa katuni nyingine za kizalendo
 
Back
Top Bottom