Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani. Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha. Habari hizi zimethibitishwa. Maneno ya Regia ya kufunga mwaka 2011 (Disemba 31, 2011)
Naomba nichukue fursa hii pia kuwashukuru wanaJF wote kwa support yenu kwangu kwa hakika ninawashukuru sana tena sana. JF imekuwa ni nyumbani, JF imekuwa ni darasa, Vile vile JF imekuwa ni Tanuru la Moto maana wakati mwingine huwa ninaingizwa kwenye moto hasa. Na mwisho nichukue fursa hii kuwaomba radhi wale wote niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine, tuanze upya mwaka ujao.. With Love Regia
47f3b105-f9e1-4bc5-ab78-3b0fe19d6f97.jpg
Marehemu Regia Estelatus Mtema,
Regia-Mtema-Car.jpg
gari.jpg
Gari lililochukua uhai wake (baada ya ajali)​
 
Habari ya kusikitisha hii!!

Hebu fuatilia uje na habari yenye uhakika plse!!
 
nani kakuambia na wewe upo wapi? mkuu fuatilia hii kitu. tutakua tumepata pigo kubwa jf hadi ndani ya chama. Mia
 
mhhhh hebu fuatilia bana utupe taarifa kamili haya sio ya kusemea kwenye tetesi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom