Wabunge wanaokufa na kutimuliwa na mkopo wa milioni 90 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wanaokufa na kutimuliwa na mkopo wa milioni 90

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kingxvi, Jan 19, 2012.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  taifa letu linaingia hasara sana kutokana na hawa wabunge wanaokufa ovyo mkopo wa milioni 90 nani atauludisha? Maana zinajenga zahanati 3
   
 2. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha utoto wewe kingxvi kwani huwa kuna watu kufa hovyo.......?
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Uchaguzi mwingine garama bl 20!!
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sheria ze2 mbaya, aliyeshika nafasi ya pili angetakiwa achukue nafac.
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  sheria za bunge na hiyo mikopo zinasemaje?
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanatuingiza hasara bwana
   
 7. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  mikopo inakuwa insured, so hata akishindwa kurejesha bima inawajibika
   
Loading...