Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau, Nimekua nikijiuliza maswali lukuki juu ya ushiriki wa nchi yetu tz kwenye mikutano ya wef davos na kwingineko duniani. kwa mtazamo wangu ile mikutano tuwaachie akina merkel, sarkozy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
...Kwa hali ya mambo inavyoendelea nchini imefika wakati kutangaza kuwa CCM na serikali yake ni Nation Crisis...Migomo isiyokwisha na malalamiko yasiyokwisha,mbaya zaidi vifo vinavyoendelea vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Published On: Tue, Jan 24th, 2012 Press Releases | Published On: Tue, Jan 24th, 2012 Session of the East African Court of Justice. EAC photo East African Court of Justice, Arusha, 24 January...
0 Reactions
6 Replies
888 Views
Katika kuhaha kwa serkali kujaribu kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari leo serikali imekwenda kuonana na madaktari wakiwa katika vikao vyao visivyo na kikomo (extended meetings) pale starlight...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
CCM katika Halmashauri ya mji mdogo wa tunduma mkoani mbeya ,kimevuna wanachama 105 kutoka vyama vya upinzani vya CHADEMA,CUF na TLP, Akiwemo aliyekuwa katibu wa Chadema kata ya tunduma. Katibu wa...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Yanayosemwa juu ya viongozi wa Tanzania yamenisikitisha .... Gonga hapa ... Wanayoyasema kuhusu Rais/Viongozi wa Tanzania...! - wavuti.com 
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF wote, Mimi ni mkereketwa wa chama cha CHADEMA na mara nyingi huwa napenda sana kufatilia habari zinazohusu hiki chama. Natamani sana kutembelea tovuti ya CHADEMA lakini sijui...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wana jf. Naomb kuwasilisha kwenu mada ya viongoz wa serikali yetu wasivyowajali wananchi waliowaweka madarakani ili wawatumikie. Ndg zangu mkuu wakaya tumemuona kweny tv akifurahia...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Kutokana na taarifa yake ya jana kuwa ametatua matatizo mengi ya madktari na ukiangalia bado madktari wana matatizo lukuki,pili alikataa kuwasikiliza. Nyoni,mtasiwa,mponda,nkya must go
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ninakumbuka mwaka 2007 , wakati JF ilipoamua kulisimamia suala la vijana wa kitanzania wanaosoma huko Ukraine, na kwa kweli mafanikio yalikuwa makubwa , leo naona kuna haja ya kuwabana wabunge...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Huu Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) siuungi mkono maana nimeshtuka baada ya kufatilia wanachama wake. Kihistoria Umoja huo ulianzishwa enzi za TANU mpaka hivi sasa CCM na majukumu yao ni kulinda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ilikua vipi nyerere badala ya kufanya unguja na pemba kuwa sehemu ya Tanganyika kama mikoa na wilaya-wilaya/ mkoa wa pemba na unguja, badala yake akadanganywa na Karume eti waunde serikali za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kukaa na kujitathmini ccm wamegundua hakuna msafi hata mmoja anaweza kugombea urais 2015.Kuna porojo kuwa JK anapendekeza awe Migiro ili kuuwa makundi yote ccm kama walivyofanya kwa...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Wana jf poleni kwa majukumu!natafakari sana na kukosa majibu juu ya hili!sijui kama hili jambo ni gumu kiasi hicho ama vipi ila kwa vile wana jf mpo naomba kueleweshwa kwa wale waelewa! 1.hivi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwandishi Wetu - Raia Mwema Baadhi ya wabunge kwenue kamati za Bunge Tume ya Maadili yawageuka, wamo pia mabalozi WABUNGE zaidi ya 30 wamevunja Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni kwa ajili ya tributes za Regia; kama unalo zuri la kusema kumhusu yeye au kumbukumbu yako njema tushirikishe. Nyota Imezimika Ni pigo limetufika Nashindwa la kutamka Ilikuwa inawaka...
50 Reactions
297 Replies
26K Views
MHE. Hamad Rashid na wenzake Leo wako mahakamani kuisikiliza kesi Yao ya madai kwa chama cha CUF kukiuka amri ya mahakama. Habari za ndani zinadai kwamba CUF wamepanga kumkataa JAJI AGUSTINO...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Lula wa Ndali Mwananzela WANANCHI wa Zanzibar wanadhulumiwa na wanadhulimiwa kweli kweli. Wanalazimishwa kuchagua kati ya vitu viwili na ni vitu viwili peke yake. Matokeo yake wananchi wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
na Mwandishi wetu - Mwanahalisi SERIKALI imetoa msimamo wake kuwa haiko tayari kuzungumzia ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, kwani ni kinyume cha maadili ya...
0 Reactions
99 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…