Watanzania tuwe macho!huu ni usanii,unless....,!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Wana jf poleni kwa majukumu!natafakari sana na kukosa majibu juu ya hili!sijui kama hili jambo ni gumu kiasi hicho ama vipi ila kwa vile wana jf mpo naomba kueleweshwa kwa wale waelewa!
1.hivi ni nani aliyeomba muungano na nini dhamira ya kufanya hivyo?
2.kuchanganya udongo wa sehemu ya znz na ya tanganyika ndo kuunganisha nchi mbili?
3.tanganyika wanaihudumia sana znz,je znz wanaihudumia vp tananyika?
4.taifa ni nini?znz n taifa?kama hapana serikali ya umoja wa kitaifa znz ni ya taifa gani?
Mimi ni mwl na hayo ni maswali niloulizwa na wanafunzi nikawaahidi majibu j3.nisaidien wana jf
 
Mpeni jibu Huyu Mwalm wanafunzi ni kweli wanasumbua sana ukweli kuhusu Muungano, aulize pia kwa nini znz ina Jaji mkuu, Rais anapigiwa mizinga 21 ?
 
Ulikuwa unamfundisha somo gani ndiyo akakuuliza maswali haya? Tueleze kwanza ndipo tukupe majibu.
 
Back
Top Bottom