Je ccm wanataka kuwa na viti maalimu vya urais?

MASHOW

Member
Jan 20, 2012
34
1
Baada ya kukaa na kujitathmini ccm wamegundua hakuna msafi hata mmoja anaweza kugombea urais 2015.Kuna porojo kuwa JK anapendekeza awe Migiro ili kuuwa makundi yote ccm kama walivyofanya kwa spika.Je wannaopewa hiza nafasi wanaweza au ni kukomoana na kuendelea kuumiza watz?Tusikubali tufanye mabadiliko twendeni Ikulu tuikomboe tanzania
 
Back
Top Bottom