Bora itangazwe kwa hali ilivyo ccm na serikali yake ni janga la kitaifa kwasasa...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Kwa hali ya mambo inavyoendelea nchini imefika wakati kutangaza kuwa CCM na serikali yake ni Nation Crisis...Migomo isiyokwisha na malalamiko yasiyokwisha,mbaya zaidi vifo vinavyoendelea vya watanzania vinavyosababishwa na mgomo wa madaktari ni msiba na janga kubwa zaidi.Je,tunasubiri nini watanzania? CCM ni nation crisis na itatumaliza,ni kama jini linalotunyonya damu,siku tutakuja kuta tumebakia mifupa.Shime watanzania tuitangazie dunia kuwa CCM na watawala wake ni janga kubwa kwa watanzania.Ni zaidi ya HIV,TB nk.
 
we mwenyewe mwoga kuanza,,,ccm haina shida ila watawala wake::::::!!!!!!!!running away from problem .....................................................................................................,<fill the blanks>
 
Back
Top Bottom