Nyoni, Mtasiwa, Mponda, Nkya Must go! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyoni, Mtasiwa, Mponda, Nkya Must go!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by vimon, Jan 27, 2012.

 1. vimon

  vimon Senior Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kutokana na taarifa yake ya jana kuwa ametatua matatizo mengi ya madktari na ukiangalia bado madktari wana matatizo lukuki,pili alikataa kuwasikiliza.
  Nyoni,mtasiwa,mponda,nkya must go
   
 2. A

  Abdul Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mgomo: Hali ni mbaya
  Watu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda, akisema yeye na timu yake hawawezi kujiuzulu kwa sababu ya mgomo wa madaktari, Kamati ya Muda ya Jumuiya ya Madaktari wanaoendelea na mgomo huo, jijini Dar es Salaam, imesema hawako tayari kumfuata Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ofisini kwake kwa ajili ya kufanya mazungumzo kuhusiana na madai yao.
  Hivi serikali hii ni ya aina gani jamaa wamepiga shule nyundo(miaka) sama, shule ngumu vifaa hamna kisha mshahara wa maandamano, hii sikubali kila mtu afadhali awe muhasibu kama budii!
   
 3. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono
   
 4. s

  shykwanza Senior Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uppuzi mtupu hakuna wakujiuzulu labda nyie madaktari muache kazi kwanza hakunaaliyewalizimisha kusoma udaktari ni usongo wenu tu wakusoma PCB sasa unawa cost huku tuliopiga coz za kijanja sasa tunakula bata tu katika serikali ya kifisadi
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha Mkuu wewe unatibiwa na kina Babu Kalumanzila eh?! Umenifanya nicheke bila kupenda.
  Haya bwana angalia wasichekuchoma sindano ya maji ukiugua
   
 6. s

  shykwanza Senior Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari mnapenda sana kujiona kuwa nyie ni Daraja la juu kumbe sio hivyo kabisa tambueni serikali ya Tanzania inawatumishi wakada nyingi na kila kada ni muhimu hata kama ni ya Dereva na Mhudumu wa ofic. Kama mnataka masilahi ya haraka rudini shule mkasome coz nyingine kama BCOM,MBA HRM Procurement kuliko kutukera na kelele zenu kila kukicha
   
 7. s

  shykwanza Senior Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Madaktari nikujiona mko juu sana sivyoooo kabisa you just like other professional, pia mnatakiwa kukumbuka kuwa Binadamu hategemei Matibabu tu ili aweze kuishi by da way sisi huku bushi tunatiba na Nursing Officer hatuna shida na nyie kwani wao wanatosha kabisa
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nursing officer? okay lucky are you guys.
  But Mkuu sijaelewa unapolalamika kuwa Madr wanajifanya matawi kuliko professions nyingine? wamekosea kudai wanachodai au?
   
 9. s

  shykwanza Senior Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu mnasumbuliwa na ulimbukeni tu mshahara mnaopata unawatosha kama hutaki kazi cmuache tu kwani watanzani wataishi tu hebu fikiria huko mawaliyani vivijijini hakuna madaktari na maisha yanasonga tu leo tishia nyau; Aidha hakuna mtu aliyewashikia Bango au kuwaladhimisha kusoma udaktari bali mliamua wenyewe hivyo unaweza kuacha kazi tu;
   
 10. s

  shykwanza Senior Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka tulipokuwa tunaingia kidato cha tatu enzi hizoooo Mwalimu akutuambi tuchague Comb ama sayansi ama ART, Vilaza wote wa kufikiri na mabingwa wa kukremisha wakachagua Sayansi PCB na kutamba kuwa wao wameula hahaaa but sisi wajanja wa kufikiri na wadadisi wa mambo tukaenda zetu ART shule lainiii hutoi hata jasho; du chuo miaka 3 then kazi nonooooo, Waasongo waliokimbilia PCB kwakuwa ni vilaza wa kufikiri Chuo miaka 6 du na kufanya kazi masaa 24 wakati sisi mwisho saa 8 mchana then tunaanza kula biaaa na dili za kuingiza fedha. Kwakuwa kupanga ni kuchagua vumilieni tu ndugu zangu siku zote wajinga ndio waliwao hapo mmenasa hamuwezi kujinasua mcheza sana tunawafutia na usajili
   
 11. s

  shykwanza Senior Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matunda ya PCB ndio hayo lakini hawakulazinishwa ni ufinyu wao wa kufikiri
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Okay nadhani wamekupata. Ila punguza jazba maana hapa unaongea na lay person ambaye zaidi ya makoti meupe ya madaktari hajui a wala b za udaktari Mkuu.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  kenge kweli wewe!
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
   
 15. m

  mtanganyikaa Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo ndo wabongo mnanipagaaaaaa utata, mnahitaji mshahara mkubwa au mnahitaji vyeo vya nyoni mtasiwa au nkya, simamieni point. wakifukuzwa hao nyie mtanufaika na nini dai posho yenu nyinyi. au mmesahau bunge lilishangiliwa kwa kutaka jailo afukuzwe lakini leo hii hayupo mmenufaika na nini wabongo bwana
   
 16. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Serikali ingekua inaendeshwa kwa akili za matope Kama hizi nina hakika watu woote kila mmoja angekuwa keshafukuzwa ofisini Kwake angalau mara10 hv.......suluhu si kutimuana suluhu Ni madaktari wapate haki Yao baaaas
   
 17. R

  Rockabie Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndio ile inayoitwa inferiority complex...hapa hujengi ila unabomoa na hutaki kuukubali ukweli kuwa wengi wa waliosoma PCB wana uwezo wa kusoma coz yoyote ya Art in a post graduate level..lakini ni wachache sana waliosoma Arts/Biashara wanaweza even kudare kusoma Sayansi....!Huu ni mtazamo wangu!!Ni kweli udaktari ni like any other professional....lakini tukubali its rare and life-based profession,mtu wa hivi kama kuna anachostahili na kipo ndani ya uwezo apewe na kama kweli hakipo aambiwe kiungwana.
   
 18. R

  Rockabie Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtazamo wako hizi fani ndo zina maslahi ya haraka??unamaanisha halali au haramu?kipimo cha kipato ni mshahara na ndio huo usio na zengwe wala kulazimika kujibembeleza kwa mtu ili usainiwe maombi ya posho,mshahara ni dhamana inayoweza kukudhamini hivyo ukiwa mkubwa utadhaminiwa kwa vitu vya thamani zaidi ya mshahara unapokuwa mdogo.na mishahara huwa inaongezeka wakati posho zinategemea hali ya kifedha ya wakati huo na utashi wa kisiasa.kitakwimu daktari ana mshahara mkubwa zaidi ya wahasibu,wagavi,maafisa utumishi..provided wako katika taasisi moja unless hao wengine wawe na mshahara unaotokana na madaraka yao siyo taaluma yao mfano mkuu wa Idara,kitengo n.k.
   
 19. vimon

  vimon Senior Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  matusi tafadhali jibu hoja
   
 20. j

  jigoku JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Umetumwa?au umelogwa?au kuna posho ya kuanika ujinga wako hapa jamnvini?au hazikutoshi?maana naona page yote una post utumbo tu,hivi kweli zinakutosha?kilichokura wewe ni nini?wao wanakudai wewe?au hao wanashinikizwa kujihuzuru kwa kushindwa kazi una mahusiano nao?au ndo hao wamekutuma kuja kuropoka humu JF?hivi kweli unawezaje kuandika hayo uliyoyaandika?najiuliza inferiority complex gani hiyo iliyokuathiri kiasi hicho?eti wanajidai kusoma PCB,ati wanajidai kusoma u-dr,halafu unatuambia wewe ni mjanja wao ni vilaza,kweli hayo?hakika wewe sio mjanja bali mjinga.siamini hiki ulichoandika,hapa ulistahili ujenge hoja sio kushabikia mambo usiyoyajua au yako beyond the sphere of your capability.unajiita shykwanza,mbona huna aibu ya kujianika upuuzi wako hapa JF?No please lazima una dosari katika mfumo mzima wa kufikiri au ufahamu wako ukoje?kwani hujui haya ya ma-dr yameanzia wapi?hujui chimbuko la migomo yote inayotokea hapa nchini,all in all wewe ni sehemu ya matatizo ya watanzania,na hata hawa wanaopoteza maisha kwa kukosa huduma kutokana na mgomo wa ma-dr wewe ni wa kulaumiwa pia,maana ni mawazo haya haya yametufikisha hapa kwenye mgomo wa hao ma-dr.shame on you
   
Loading...