UPDATES Mgomo wa Madaktari: - INTERNS WOTE WARUDISHWA MUHIMBILI BILA MASHARTI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UPDATES Mgomo wa Madaktari: - INTERNS WOTE WARUDISHWA MUHIMBILI BILA MASHARTI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PamojaDaima, Jan 27, 2012.

 1. P

  PamojaDaima Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika kuhaha kwa serkali kujaribu kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari leo serikali imekwenda kuonana na madaktari wakiwa katika vikao vyao visivyo na kikomo (extended meetings) pale starlight hotel. Delegation ilikuwa na wajumbe wafuatao: Waziri wa Utumishi - Hawa Ghasia, Waziri wa Afya - Haji Mponda, Katibu Mkuu Wizara ya Afya - Blandina Nyoni na Mganga Mkuu wa serikali - Deo Mtasiwa

  Ujumbe wa serikali ambao kimsingi walisema wametumwa na Waziri Mkuu ulikuja kwa ajili ya kusikiliza madai ya madaktari na wao kujaribu kutoa utatuzi kwa yale yaliyo ndani ya uwezo wao.

  Hata hivyo madai ya madaktari kwa mara nyingine tena waliambiwa na wao kupewa nafasi ya kutoa majibu ambayo walisema mengi kati ya hayo yanazungumzika na kwamba suala la interns (madaktari waliopo katika mafunzo katika vitendo) serikali imekubali kuwarudisha Muhimbili bila masharti yeyote. Suala la nyumba, risk allowance na mengineyo wamekubali kukaa na madaktari kupitia viongozi wao ili kujaribu kupata suluhu.

  Hata hivyo madaktari wameazimia kuendela na vikao vyoa visivyo na kikomo mpaka hapo madai yao yatakapopatiwa ufumbuzi na kwambwa wajumbe waliambiwa wamfikishie waziri mkuu madai yao

  Nawasilisha
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mmm hawa sio wanasiasa kama sisi wa zidumu fikra, hapa panahitajika mambo yakinifu
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kweli nchi haina serikali
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Asante kwa updates Mkuu, still wanapima upepo hao mbona kama majibu nusunusu?viongozi wa wadaktari MAT C walikuwepo?kwann wasiongee nao kabisa?anyway,lets wait and see
   
 5. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mishahara ya ma daktari bongo ni kiasi gani kwa wastani?
   
 6. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu madai yetu yote yalisomwa na walikuja wamejiandaa na swala la interns tu. Twataka majibu ya hayo mengine, mgomo unaendelea.
   
 7. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Siasa hizo mkuu madaktari wakizubaa tu wanapigwa bao hapa kama wamekuja kuongea nao wanawaficha nini wahusika mpaka wajifungie na viongozi kama ni hivyo nini ilikuwaumuhimu wa wao kwenda pale siwangewaita tu viongozi nini wanaficha.
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni 1/3 ya mishahara ya madactari kule Botswana na Namibia
   
 9. N

  Njaare JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii ni akili au? Kwa zaidi ya wiki madaktari wametoa madai yao wanakuja na jibu la suala moja tu? Inaonyesha jinsi viongozi wetu wasipojisumbua na matatizo yetu. Na walaaniwe wote waliosababisha madaktari kugoma.
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  komaeni nao mpaka kieleweke wasipowaelewa sisi tuko nyuma yenu tutawasaidia.
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Watu wanadai malipo yao wanasiasa wanasema eti wamesamehewa warudi kazini bure..kipi ni kipi?wao wana shida na kazi ama pesa yao?
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hili siyo suala la kuziba nyufa; kuna wakati kuziba nyufa kunatosha lakini wakati mwingine inabidi ubomoe ukuta mzima ili kujenga nyumba imara zaidi. Tatizo limevuka kutoka kuwa suala la mishahara na interns; hili ni suala la uboreshaji wa huduma za afya nchini (improvement of healthcare services). Serikali should not try to patch things up!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Watanzania bwana. Ila ni kawaida kwa wapiga majungu sishangai. Hivi kumbe kuna watu wanataka suluhu kati ya madaktari na Serikali isiwepo ili waendeleea kupiga majungu, mara Serikali haisikilizi matatizo, mara Serikali inacheza na afya za wananchi wake. ili iweje sasa ina maana kweli hilo nalo limekuwa siasa kweli, Eti Chadema wanasema watatoa takwimu za vifo vilivyotokana na athari za mgomo wa madaktari, kisa eti kiongozi wao kafariki huko Muhimbili. Hizi si siasa? Kumbe kuna kila sababu ya kuamini kwamba mgomo huu ulikuwa na mkono wa baadhi ya wanasiasa. Angalia hata contribution mbalimbali za watu humu zinazohusiana na mgomo huo, ni ushabiki tu, watu wanathamani mgomo uendelee ili wafurahi ili ionekane kwmba Serikali imeshindwa.
  Serikali iendeleze mazungumzo na Madaktari nao wakubaliane na Serikali badala ya kusikiliza maneno ya uchochezi. wapo watu ambao kwa makusukdi tu hawaitakii mema Nchi yetu. Wengine walishatamka kwamba Serikali haitatawalika na kwa maana hiyo wanafikiri kauli zao zisipotimia basi wataonekana kama ni manabii wa uongo na kuanzisha vituko vya kushawishi watu kugoma , kufanya fujo n.k. Kamwe kwa akili zangu siwezi kuwaona wanasiasa wa aina hiyo kama watetea wanyonge. Ni wachochezi/wabinafsi/wenye chuki/husuda n.k. Tuwaepuke hao. Tuache Serikali ifikie muafaka na Wafanyakazi wake ili chi isonge mbele. Kama kuna watu wana damu ya kupenda shari waende somalia, na kwingineko.
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Kwani dai ni moja tu?
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mh,
  kwani nkya,ghasia,mutasiwa na mp0nda hamjui matatzo ya hawa wadau?
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii ni sehemu ya matakwa ya madaktari.hii delaying tactic inaendelea kuondoa uhai wa watanzania.hivi wanapoambiwa warudi kazini wanaenda kufanya kazi kwa vifaa na mazingira gani??kwa nini serikali inaweka pamba masikioni?adress all issues za madaktari na sio kupunguzapunguza hasira za watu.PM changamka usije kulaumiwa!!
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pasco na masaa yake 48 yuko wapi?
   
 18. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  na 1/300 ya mshahara wa daktari Marekani
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Madaktari msidanganyike na maneno matupu yasiyokuwa na vitendo labda watekeleze kwa vitendo kwanza ndo mwaelewe maana wamezoea kuwaada waTZ kwa uwongo huku wakijinafiasha wenyewe (serikali)
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni laki tatu mpaka nne
   
Loading...