Yanayosema juu ya Viongozi wa Tanzania ....

Tumesikia mkuu acha waseme tumejitakia na bado tutaendelea kukion acha moto!
 
Hata mimi nilitegemea yasemwe hayo;kwani huwezi ukapanda mahindi ukatarajia kuvuna nguruwe!!!!
 
Hata wasemeje TUMEWEZA, TUMETHUBUTU NA TUNASONGAMBELE NA SUTI ZETU ZA SAVILLE ROW!!! Ndio wasemavyo hawa wakweree kwani hawana soni.
 
Back
Top Bottom