CCM yavibomoa CHADEMA, CUF na TLP - | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yavibomoa CHADEMA, CUF na TLP -

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jan 27, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CCM katika Halmashauri ya mji mdogo wa tunduma mkoani mbeya ,kimevuna wanachama 105 kutoka vyama vya upinzani vya CHADEMA,CUF na TLP, Akiwemo aliyekuwa katibu wa Chadema kata ya tunduma.
  Katibu wa CCM Tunduma alieleza kuwa hatua hiyo ni ushindi wa CCM kwani eneo hilo ni ngome ya chadema.

  Diwani wa kata hiyo ni wa CDM ambapo inaelezwa kuwa kumekuwa na uhasama mkubwa wa kisiasa kati ya CDM na CCM hadi kufikia hatua ya kukwama kwa shughuli za maendeleo kwani wananchi wanasusia kushiriki shughuli mbalimbali ikiwemo misiba,michango ya maendeleo nk.

  My take.huu ni wakati wa kujiongezea wanachama hivyo chama kisilale hata sekunde moja.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  chanzo ni jamboleo la tarehe 20 january.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  hoja yako haina mashiko yoyote kajipange upya! gamba wewe.
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  unabahati umesema chanzo! jambo leo nalo ni gazeti?? ala!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tarehe ngapi vile?
  HII NI HABARI YA zamani sana, na huenda sasa hivi walishajutia kitendo hicho na kurudia enzi zao!...huh!
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kidumu chama cha mapinduzi.
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani kama kuna mtu anajiunga na CCM kwasasa anapaswa kupelekwa wodi ya vichaa kuchekiwa akili....ni ngumu kuaimini ili,ufirahuni wa CCM bado unavutia watu kushiriki kazi zao.Wonderfull!!!
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mchezo kwao nani? CCM ni chama kongwe......sabato masalia
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  unataka kusema chadema wakishika madaraka/dola watafuta siasa za vyama vingi? itakuwa marufuku au yule ambaye atakuwa ccm atatiwa ndani?
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Jambo leo halina maana kama Tanzania Daima ni magazeti mapacha.
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ni kama ulimi umeteleza nafikiri ulitaka kumtukana magwanda wewe?
   
 12. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hivi mimi huwa hatahavinishituwi sana,siku akienda sugu utasikia wamerudi tu au naye kavuna mamia kutoka ccm

   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  [​IMG] TAMUCHUNGU

  Today 09:11
  #1 [​IMG]
  [​IMG] Senior Member Array


  Join Date : 23rd January 2012
  Posts : 78
  Rep Power : 316

  kasi yako ya kupost kubwa sana mkuu..keep it up ila uje na habari za mashiko sio propaganda za matakataka kama JAMBA LEO,..yani usituletee kabisa habari za madude kama hayo zinatuharibia siku
   
 14. S

  STIDE JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona unajitahidi kutetea kibarua!!
  Ila umeingia Jf kwa speed ya kitimoto!!!
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Hivi lini umewahi kupost habari zako nje ya Jambo leo na Uhuru?
  Hiyo habari tulishasoma kitambo sana.
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acha kuwa na mahaba kiasi hicho na cdm tutakufanya vibaya mjini hapa . Gazeti la tarehe 20 unasema la zamani wakati sehemu zingine gazeti lachukua hata wiki ndio linafiki

   
 17. H

  Hiraay Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi juma lililopita CDM ilivuna magamba mangapi kule Arumeru???!!!
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Una macho lakini huoni , tukuitaje sasa ?

   
 19. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haya mambo ya huyu kabomoa ngome ya huyu, mi nayaonaga kama usanii - hivi tunaweza kuyaverify vp wakuu?
   
 20. t

  testa JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hahahahaaa.....Mkuki kwa nguruwe...
   
Loading...