Nyerere alidanganywa na Karume: Muungano is myth, not reality | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere alidanganywa na Karume: Muungano is myth, not reality

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jan 27, 2012.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ilikua vipi nyerere badala ya kufanya unguja na pemba kuwa sehemu ya Tanganyika kama mikoa na wilaya-wilaya/ mkoa wa pemba na unguja, badala yake akadanganywa na Karume eti waunde serikali za Zanzibar ndani ya serikali ya Tanzania? Je karume alikua na uchu sana wa madaraka? Kwanini kwa sasa tusitafute visiwa hivi viwe mikoa au wilaya kwa kufanya majadiliano na watu wa kisiwa cha pemba na kisiwa cha unguja tuachane na Zanzibar?
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huna logic! Yaani Karume aka kilaza amdanganye gifted Nyerere?!!
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Hivi sisimizi anaweza kumdanganya binadamu eh!!!
   
 4. y

  yaya JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijaona na kuelewa mantiki ya hoja yako.
  Yaonekana huijui historia ya Tanganyika na Zanzibar mkuu, na hivyo kutokujua hata sababu na aina ya muungano wenyewe.
   
Loading...