Viongoz wetu wasivyojali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongoz wetu wasivyojali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGONYA NM, Jan 27, 2012.

 1. N

  NGONYA NM Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam wana jf. Naomb kuwasilisha kwenu mada ya viongoz wa serikali yetu wasivyowajali wananchi waliowaweka madarakani ili wawatumikie. Ndg zangu mkuu wakaya tumemuona kweny tv akifurahia nakucheka kama kawaida yake hko Davos naviongoz wenzake.

  Aliondoka nchin tayar mgomo wa madaktar una siku mbili bila kujali kwamb wako watakaoathirika namgomo huo badala yakubakifatafute suluhsho akakwea pipa na msafara wake tulioambiwa unakisiwa kutumia mil. 300 akawaacha madakatar wakiomb nyongeza ya mshahara na posho. Je hcho kias kisingetosha kuwaongezea hzo posho wanazodai madaktari? Kwel mwenye shbe hamjui mwenye njaa.

  Kama haitosh mtoto wamkulima Mh Pinda badala yakuongea na madaktar anaongea na wahariri wa vyombo vyahabari nakuagiza madaktar wamfuate wakaongee juu yatatizo lao nikwamb mwenye shda mfuate mganga du! Kwel viongoz we2 hawajali Nawasilisha
   
Loading...