Wanajamvi:
Hivi madudu yote haya ya CCM, aibu, ufisadi unaochukiza wananchi maana wauna majibu, kupingana na kunyukana wenyewe kwa wenyewe, kutokuwa na mawasiliano hata katika ngazi za juu...
Wakati wa Nyerere tuliumia wote. Sasa hivi serikali hii hii inalipa hela ndefu BOT, TRA ETC. Tatizo serikali inadhani watu hwafahamu. Kumuka aliye BOT alikuwa Class mate wangu ananiambia...
Wadau. Ukiangalia kiundani, madai ya madaktari wa tanzania ni muhimu sana, si tuu kwa madaktari bali na wananchi kwa ujumla. Ni kweli kwamba mazingira ya hospital zetu yakiboreshwa, mwananchi wa...
Hivi viongozi wetu mlio juu, hamjui kama tenda nyingi za serikali wanapewa wale wanaojua kutoa 10% lakini sio kwa watendaji Bora?
Kama mlikua hamjui, naoma kwa leo mlijue hilo na mchukue hatua...
Jakaya Kikwete
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumanne, Januari 31, 2012 limeandika habari zenye kichwa cha habari JK abariki posho mpya za Wabunge: Kila mmoja kulipwa sh 330,000 kwa siku.
Habari...
Issue imekuwa complicated as only interns na muhimbili dr walio chini ya wizara ya afya the rest mikoani wapo chini ya halmashauri ambayo ni tamisemi so mgomo unity ni ndogo. Hawa madokta wako...
Kwa uhakika, sakata la mgogoro kati ya madaktari na watumishi wa afya linaendelea kuchukua sura mpya baada ya bunge kujipitishia nyongeza ya posho zao hadi 200,000 huku serikali ikidai haina pesa...
Ukisoma tamko la mwenyekiti wa chama cha kijamii Constantine Akitanda kipengele cha tano,amezungumzia suala la kufutwa kwa ruzuku zinazopewa vyama vya siasa, na ukijaribu kutazama vyama vyenyewe...
Wakuu tutafakari pamoja,sina nia ya kumuonea au kumtetea mtu bali naulizia maoni yenu katika hili.
Kuna kawaida ya kuwepo wahudumu mbalimbali wanaohudumia ofisi za Bunge. Mmoja wa wahudumu hawa...
Binafsi nilitarajia kuwa serikali ingeonesha uwezo wa kuwa mchangamfu kushughulikia madai ya madaktari bila kulazimishwa zaidi na migomo. Bahati mbaya sana serikali yetu inaonekana kutoamini kuwa...
Niko huku kwa siku kadhaa kwa ajili ya AFCON (wakati mwingine Gabon)
Tukiacha yoote mengine, kuna kitu nimekinote cha tofauti, kama sisi, wao wana bara na visiwani (Rio Muni na Bioko) ingwa sijui...
katika kuthibitisha ukosefu wa umakini ndani ya serikali, mchana huu mwandishi wa Clouds Redio ameripoti kuwa wagonjwa katika hospitali ya Muhimbili hawakupata huduma yeyote ikiwemo kushuhudia...
jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani...
Nchi yetu ipo katika hali ya dharura kutokana na kutaabika kwa wagonjwa mahospitalini bila msaada kufuatia mgomo unaoendelea wa madaktari.
Itakuwa ni aibu kwa Bunge kuanza kikao chake leo kama...
Wananchi- Nyongeza ya posho ya 200.000 wanayodai wabunge ni kubwa mno
Serikali - Posho hiyo ni ndogo sana ukilininganisha na tunavyojilipa sisi serikalini, madai ya wananchi hayanana msingi kwa...
Madaktari tuambieni mmetumia vigezo gani kufikia mshahara wa TZS 3,000,000 plus other fringe benefits ambazo mwisho wa siku sitafikia karibu 5,000,000/=
1. Hamuoni kuwa Polisi nao wanastahili...
Kinacho wauzi Wz,bar sio Pombe tu kuzwa ukouchafu mwingi tu ukiwemo madanguro ya uhasharati na hii yote ni kukosa muelekeo wa uongozi Zanzibar.Written by amini // 31/01/2012 // Habari // No...