Hivi inakuwaje CCM inaendelea kudunda hadi dakika hii? Ni nguvu za dola tu?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Wanajamvi:

Hivi madudu yote haya ya CCM, aibu, ufisadi unaochukiza wananchi maana wauna majibu, kupingana na kunyukana wenyewe kwa wenyewe, kutokuwa na mawasiliano hata katika ngazi za juu kabisa, inakuwaje chama hicho kinaendelea kudunda hadi sasa?

Mimi naamini kabisa kinadunda kwa sababu ya nguvu za dola tu, na siyo kwa ridhaa ya wananchi. Kusema kweli wananchi wamechoka kabisa na yanayoondelea katika chama hicho na serikali yake?
 
CCM ipo kwa ridhaa ya wananchi kikatiba, hii ni nchi ya kidemokrasia bana kama ulikosea kuchagua then unatakiwa kusubiri miaka mingine mitano uchague sahihi
Hii ndio demokrasia au unapenda au hupendi lakini ndio demokrasia yenyewe

Wanajamvi:

Hivi madudu yote haya ya CCM, aibu, ufisadi unaochukiza wananchi maana wauna majibu, kupingana na kunyukana wenyewe kwa wenyewe, kutokuwa na mawasiliano hata katika ngazi za juu kabisa, inakuwaje chama hicho kinaendelea kudunda hadi sasa?

Mimi naamini kabisa kinadunda kwa sababu ya nguvu za dola tu, na siyo kwa ridhaa ya wananchi. Kusema kweli wananchi wamechoka kabisa na yanayoondelea katika chama hicho na serikali yake?
Hapo umenena , jamaa wanajua kula na vigogo wa vyombo vya dola , na huo ndo mtaji wao mkuu ..
 
Back
Top Bottom