"JK anaona matatizo halafu anakaa kimya, wapinzani wakisema mnasema wanapiga kelele" by Kinana

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,772
Maneno ya Kinana mwenyewe kama ilivyoripotiwa na Mwananchi, 31/01/2012

"'Nitamwambia Rais kuwa wananchi wanakubaliana na utendaji wako ila uongeze ukali...Hili suala la kuonea aibu la chama cha CCM ndilo linalosababisha wapinzani wapate nguvu, haiwezekani Kiongozi wa CCM anaona matatizo halafu anakaa kimya, wapinzani wakisema mnasema wanapiga kelele".
 
lakini na wapinzani ndi wanaoongoza kwa kudai nyongeza ya posho kasoro Zitto, kwa CCM yupo KIGWANGALA na MAKAMBA nao wanacheka au Kinana afafanue
 
Sasa atasema nini maskini ya mungu! hajui lolote huyo, ambacho mungu amemjalia ni kuzika na kutembelea wagonjwa, kwa hilo mashaallah mwenyezi Munu amuongezee!!
 
lakini na wapinzani ndi wanaoongoza kwa kudai nyongeza ya posho kasoro Zitto, kwa CCM yupo KIGWANGALA na MAKAMBA nao wanacheka au Kinana afafanue
Zitto pesa anazopokea kutoka kwa wafadhili wake zinamtosha, Makamba ile mihela aliyochukuw Nasdaq USA inamtosha sana, Kigwangwala ni muhongo na mnafki, na ni member humu JF natafuta post zake humu JF alizokuwa anapigia upatu miposho, alichofanya Kigwangala ni kucheza na akili za Watanzania kupata Political credilbity, kwani alijuwa wazi kwamba posho ni lazima zipande, kwahiyo alitaka kuonesha yupo upande wa Wananchi. huyu ni mnafki.
 
Mpaka 2015 ifike, lazima mtu apate shinikizo la damu. Ngoja tuone ila nawashauri wale agents wa kupeleka wagonjwa Apollo, India, waanze maandalizi ya kuandaa special ward for him. Oh God help us
 
JK ni kiziwi......... Anasubiri mwisho wa mwezi aende kuongea na wazee wa Dar

Haswaaa..hi,hi,hi,.. We umempatia kabisaaa yani wala hujakosea.. Ana hulka ya kulifanya lile linalopingwa halafu baadae anakana km sio yeye.. Jamaa anaishi maisha mazuri.. Yani Tz kiongozi u do something ukiulizwa unakana tu very eazy na maisha yanaendelea.. I nchi hivi kuna sheria kweli.. Na km ipo lini itafanya kazi..?
 
JK hajui lolote sasa unategemea ataongea nini?kama mawaziri wake tu wanamuona hana upeo itakuwa sisi wananchi...amalize muda wake aondoke tuanze upya tu..lakini kwa utawala wake ..haki ya mungu mtu wa kutoka dini na kabila lake atapata shida sana kuukwaa urais kwa miaka ya karibuni
 
hivi kun mahali katika katiba inaruhusiwa kujishauri mwenyewe?
kwa sababu rais hana washauri.
 
huyu kinana nae na ile kampuni yake ya WIA na tenda za upendeleo.....
 
Zitto pesa anazopokea kutoka kwa wafadhili wake zinamtosha, Makamba ile mihela aliyochukuw Nasdaq USA inamtosha sana, Kigwangwala ni muhongo na mnafki, na ni member humu JF natafuta post zake humu JF alizokuwa anapigia upatu miposho, alichofanya Kigwangala ni kucheza na akili za Watanzania kupata Political credilbity, kwani alijuwa wazi kwamba posho ni lazima zipande, kwahiyo alitaka kuonesha yupo upande wa Wananchi. huyu ni mnafki.

Mtu akifanya vizuri apewe sifa yake. Hivi ulishasikia kuna mtu anatosheka na pesa? Ingekuwa hivyo wengi wangeacha ufisadi. Bravo Zitto, kaza buti wala usihofu.
 
tatizo ni kwaamba kiongozi wa chama ndiyo kiongozi wa serikari mimi naona hakuna ulazima,KATIBA pia ya CCM ina mapungufu
 
Zitto pesa anazopokea kutoka kwa wafadhili wake zinamtosha, Makamba ile mihela aliyochukuw Nasdaq USA inamtosha sana, Kigwangwala ni muhongo na mnafki, na ni member humu JF natafuta post zake humu JF alizokuwa anapigia upatu miposho, alichofanya Kigwangala ni kucheza na akili za Watanzania kupata Political credilbity, kwani alijuwa wazi kwamba posho ni lazima zipande, kwahiyo alitaka kuonesha yupo upande wa Wananchi. huyu ni mnafki.

Na za madini na ppf
 
Mtu akifanya vizuri apewe sifa yake. Hivi ulishasikia kuna mtu anatosheka na pesa? Ingekuwa hivyo wengi wangeacha ufisadi. Bravo Zitto, kaza buti wala usihofu.
ndio nimeshasikia watu na sio mtu wanaotosheka na pesa mpaka zingine wanagawa, na ndio maana kuna Foundation nyingi tu za kutoa misaada.
 
Back
Top Bottom