Updates kutoka uchaguzi mdogo Uzini, CCM kama kawa wasomba na kubeba watu kwenda mkutanoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates kutoka uchaguzi mdogo Uzini, CCM kama kawa wasomba na kubeba watu kwenda mkutanoni

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Tumaini Makene, Feb 1, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu kampeni zinazidi kushika kasi, wakati CHADEMA sasa iko mbele kwa mikutano mingi, huku CUF wakizindua juzi, wakitumia muda mwingi kuizungumzia CHADEMA, kiasi cha Jussa kuwadanganya wananchi kuwa CHADEMA hakina wabunge wa viti maalum kutoka Zanzibar, kwa sababu eti hakiwapendi Wazanzibar na kinaichukia Zanzibar, leo CCM mamezindua ya kwao.

  Natumaini mnajua kwa nini wamechelewa kuzindua kampeni yao? Ni baada ya mgombea wao kuwekewa pingamizi kwa hoja madhubuti sana, ambalo lenyewe na maamuzi ya ZEC, limezua gumzo sana katika maskani za masuala ya siasa katika maeneo mbalimba ya Zanzibar.

  Kituko cha leo katika uzinduzi wa CCM bila shaka mtakuwa mmeanza kukizoea sasa kama Watanzania wengine pia walivyoanza kukizoea. Mkutano wa uzinduzi ulifanyikia eneo la Uzini. Watu wamesombwa kutoka maeneo mbalimbali ya Zanzibar, hususan maeneo ya mjini na maeneo ya karibu.

  Magari yameanza kusomba watu kuanzia saa 8 mchana. Uzuri yalikuwa yanaonekana na kila mtu aliyeweza kuwepo barabarani. Mpaka watu wa maeneo haya wamesikika wakihoji, kulikoni watu wa maeneo mengine kubebwa na kusombwa kuhudhuria mkutano usiowahusu. Wanahoji kwa nini CHADEMA inaweza kufanya mikutano bila kubeba watu kuhudguria lakini CCM wameshindwa? Maana wengine wametolewa mjini. Kisa wanataka kujza watu mikutano. Fubrication! Ngoja tusubiri kufikia kesho tutasikia tu malalamiko ya kupunjwa au kunyimwa posho za kuhudhuria mkutano wa hadhara kumskiliza mgombea.

  Nway wakati CCM wakiendelea kusomba watu, wakiwavalisha khanga, tisherti, suruali na kofia, huku CUF wakisikika kulalama kuwa Uzini bado ni pagumu sana kwao (wakihukumiwa na historia na ndoa waliyoingia na CCM, hivyo kuua jukwaa la wananchi kupaza sauti dhidi ya watawala, CHADEMA inazidi kujikita, ikiendelea ku- win mioyo ya watu.

  Makamanda wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Hamad Yusuf, Benson Kigaila Masalamakali Singo Benson, Msafiri Mtemelwa na wengine, wanaendelea kushambulia. Mpaka sasa, Hamad anasema CHADEMA wameshafanikiwa kuwazingira kabisa CUF hivyo hawawezi kufurukuta. Anasisitiza kuwa mapambanao hapa ni ya CHADEMA na CCM, ni mmoja wao anaweza kuwa namba moja, mwingine namba mbil.

  Na wananchi wameanza kuonesha spirit hiyo, it is either CHADEMA or CCM...already framed into two parties... Somo linaonekana kuingia. Wananchi hawaogopi tena kunyoosha mikono na kuonesha alama ya V. Hawasiti tena kutundika bendera zao mbele ya nyumba zao na kujivunia elimu ya uraia, inayowasaidia kuwajua vyema watawala wao wanaojiita viongozi.

  Uzini by election gonna be a right entry for CHADEMA in Zanzibar na kuwa chama mbadala kwa Tanzania nzima, for which people could lean on. Chances are there to pose a serious challenge ever happened in the constituency (Uzini na Donge, yanaitwa majimbo mama, ambako CCM hujipatia ushindi wa mteremko) AND WIN. WINNING people's hearts and minds, not to sympathize but to see the necessity of the course/struggle for the second liberation, advocated long time ago by Patrice Lumuba nad the like...
   
 2. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vita ina mbinu nyingi ili kupata ushindi siasa pia ni vita kila chama na mbinu zake
   
 3. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila chama kinapewa ruzuku tumesikia baadhi ya viongozi wa vyama pinzani wanatumia kwa matumizi binafsi bora CCM wanatumia ruzuku yao kwa kubeba wapiganaji wao katika medani ya siasa.
   
 4. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Tehe tehe tehe, unanikumbusha Mwalimu mmoja mvivu wa Geography nikiwa Olevel alikuwa akisema kuwa any thing is point, it depends on how u defend it, tehe tehe tehe. Kaaazi kweli kweli,
   
 5. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongereni sana wapiganaji! Inafurahisha sana kusikia kuwa focus siyo tu kupata ushindi katika uchaguzi huo bali ni njia ya chadema kuingia katika siasa za zenj. CuF wanaweza kujikuta wamevuna aibu ya Igunga ndani ya himaya yao, ngoja tusubiri.
   
 6. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Tehe tehe tehe, unanikumbusha Mwalimu mmoja mvivu wa Geography nikiwa Olevel alikuwa akisema kuwa any thing is point, it depends on how u defend it, tehe tehe tehe. Kaaazi kweli kweli,
   
 7. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jimbo la Uzini wapigaji kura wengi ni waruguru na wanayamwezi. ni wazi ngoma kati ya CCM na Chadema. hili jimbo sawa na Jimbo la morogoro
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CUF = Maalim Seif Sharrif Hamad
  CHADEMA = Freeman Mbowe
  TLP = Augustine Lyatonga Mrema
  UDP = John Momose Cheyo
  NCCR - Mageuzi = james Mbatia
  Hawa wote ndio wamiliki wa ruzuku, hakuna mwingine anayeongea wala kutia mkono.
  Ukitaka:
  CUF iwe = na Hamad Rashid
  NCCR iwe = na Kafulila
  Na siku ambayo Slaa akisema CHADEMA iwe sawa sawa na yeye wanafukuzwa kwenye vyama.
   
 9. J

  J_Calm Senior Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema win in zanzibar will be an over 18ft goal!
   
 10. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Time will tell
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera makamanda sisi huku tunafunga na kuwaombea mafanikio mema
   
 12. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hongereni msibweteke mpaka siku ya uchaguzi MUNGU anaweza yote tumuombe atusaidie tuibuke washindi.
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona umeongea kuonyesha una wezo kama wa nanga maana yenye hupelekwa hadi topeni kutoka hadi ivutwe .Upumbavu huu umeutoa wapi ? Ruzuku ya CCM anaimiliki nani na imesha jenga vipi chama cheni hadi matawini ? Au unaongea utumbo kama umetokea kula supu ya utumbo ?
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sikuona umuhimu wa wewe kuyafunua hayo masaburi ya kichina!
   
 15. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haya sasa,chama cha musimu sasa ndani ya Zenji,ccm na cuf mpoooo?!!I knew before hakuna wa kuistopisha cdm kwa sasa,watu tunafunga hatuli wala kunywa kwa kuiombea cdm isonge na maombi ya kufunga yana nguvu balaa.Songa cdm songaaaaaaa na tuendelee kumwamini Mungu ipo siku tutafanikiwa
   
 16. only83

  only83 JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mimi nasema,hata kama CDM tusiposhinda hii inakuwa ni mwanzo wa siasa za ukombozi kuingia Zanzibar..ni chachu kwa Wanazanzibar kuacha siasa uchwara za CCM na CUF na kujiunga na watanzania kwa ujumla wao kumaliza udhalimu huu wa CCM...
   
 17. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makamnda mungu awabariki songeni mbele.
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera Kyoma Rwakatare
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Umeyatoa wapi hayo ya Ukaguru na Morogoro au umelala, Uzini tunayosema ni Zanzibari ndugu!!!!

   
 20. d

  davidie JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka uthibitisho mezani
   
Loading...