Mauaji tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Michael Pima, Feb 2, 2012.

 1. Michael Pima

  Michael Pima Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Siku vitisho vya serikali dhidi ya madaktari vikifanikiwa kuwarudisha kazini yatatokea mauaji tanzania ya watu maskini wasiokuwa na uwezo wa kwenda apollo na kwingineko nje ya nchi kwa matibabu. Fikiria umeugua na unatibiwa na daktari mwenye hasira, kinyongo, gadhabu n.k. Ni kifo tu hamna la ziada.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu km hicho kwa madaktari, kuua si jambo la kushabikia, na taaluma zao ziko clear, uuwe kwakosa la mwingine??
  hata kabla ya mgomo wagonjwa wamekufa sana kutokana na vitendea kazi vibovu.
   
Loading...