CCM kujenga jengo la bn 60 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kujenga jengo la bn 60

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Feb 2, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wana Jf
  Nimepata taarifa hii Ccm wana mpango Wa kujenga jengo la BN 60 Dodoma kabla ya 2015 kilicho nivuta na kutaka tujadili wanadai hawata kopa watapata asilimia 20 serekali ya Znz na asilimia 80 serekali ya muungano

  Tujadili je ni Fedha za walipa kodi?
   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Msiifute hiii Kama mlivofuta ile ya kwanza nilipo leta SMS ya ikulu
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  safi sana bora wajenge ili liendane na hadhi ya chama chetu
   
 4. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wanaweza kufuta we subiri uone, ila ujumbe umefika hata wakifuta ipo kichwani tayari tusubiri matokeo kama si kula nyasi mpaka tukome
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bilioni 60? Zitatoka huko wanakotoa kila siku! Hufahamu?
   
 6. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati jamani humu jamvini tunaoneana pasipo sababu manake wewe umekiri kuwa umepata taarifa, hukutaka kudisclose source kama haitoshi unasema unaom a tujadili je ni fedha za walipa kodi?? Mi nadhani mfuate tena huyo aliyekupa taarifa muhoji tena ukipata facts zilizotulia ukuje tena manake binafsi naweza kukujibu kirahisi tu hapana si za walipa kodi then what next!! Kama hamko na uhakika humu si pake na kama source inalegalega hakuna ulazimu wa kupost manake inakula kwako tumat the end of the day
   
 7. T

  Tom JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafuta taarifa zaidi kwa mtoa taarifa, ni bora asilimia 100 ya pesa itoke Znz.
   
 8. +255

  +255 JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hapana, si za walipa kodi..
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  acha wajenge... Watarudisha wenyewe
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Wajenge tu, siku nchi ikipinduliwa kila kitu mali ya serikali
   
Loading...