Fedha za ujenzi wa zahanati zilizotolewa na rc singida zaliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fedha za ujenzi wa zahanati zilizotolewa na rc singida zaliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UGHANDI, Feb 2, 2012.

 1. U

  UGHANDI New Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Licha ya mkuu wa mkoa kuchangia nguvu za wananchi wa kijiji cha nkhoiree,wilaya ya singida vijijini,lakini cha kushangaza inasemekana kuwa baadhi ya viongozi wa serikali na watendaji wamezitafuna huku jengo hilo likiwa bado halijakamilia.wanaotuhumiwa kwa ufisadi huo wa shilingi laki sita zilizotolewa na rc wa singida ni mwenyekiti wa kijiji cha nkhoiree,bwana lucas msembe,afisa mtendaji wa kijiji,bwana miraji ntungu,afisa mtendaji wa kata ya iseke,bwana hamisi ally nkingi na mmoja wa waweka saini,bi tatu abdurahmani.hata hivyo kwa mujibu wa mwenyekiti wa kijiji hicho,siku ya tukio baada ya kuagiza kamati inayohusika kwenda kutoa fedha benki,inasemekana afisa tarafa wa ihanja,bwana elia mangi naye aliungana na wajumbe hao hadi mjini singida na walipotoa fedha hizo haieleweki kilichofanyika badala ya fedha hizo kukabidhiwa kwa mkandarasi kama ilivyoazimiwa na kikao,matokeo yake hawakufanya hivyo na fedha hizo hazikuweza kukabidhiwa kwa muhusika hadi leo na kuna madai kwamba wajumbe hao waligawana fedha hizo bila kumsahau afisa tarafa kwenye mgao huo.je hali kama hiyo itaendelea mpaka lini,mpaka sasa wamekamatwa wanne tu na afisa tarafa licha ya kutajwa kwenye tuhuma hizo mpaka sasa hivi hajakamatwa ili kusaidia ufumbuzi wa tatizo hilo.
   
 2. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,399
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  ........unaleta hoja kumbe huna hata uhakika (penye bold), afu kwani wewe hujui kwamba fedha zinatakiwa kuliwa?
   
Loading...