Mgomo wa Madaktari Bugando kukolea

tonnyalmeida

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
226
46
Nimepata taarifa za uhakika kutoka BUGANDO mwanza kuwa madaktari wa bugando wanaoendelea na mgomo jana walikubaliana kuomgeza makali ya mgomo huo kwa kutoandaa ratiba za kazi kwa idara zote. na ilipofika asubuhi mmoja wa madaktari walioko katika mafunzo ya udaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi (OBSTETRICS & GYNAECOLOGY) alipoulizwa katika vikao vyao vya asubuhi maarufu kama MORNING REPORT MEETING kwa nini hakuna ratiba alijibu bila kuumauma maneno kuwa ni kwa sababu TUMEGOMA ndo mana hakuna ratiba mbele ya madaktari bingwa walokuwepo katika kikao hicho na madaktari wote wakatawanyika. huyu daktari ALEX kwa tabia zake za kujipendekeza kwa wakubwa ambao pia washachoshwa na hiyo tabia yake akakiuka makubaliano ya madaktari wenzake wanaoendelea na mgomo ili kuishinikiza serikali kutoa majibu ya mad#aiya maslahi yao akaenda kuandaa ratiba hvo akawa amevuruga mpango mzima wa madaktari wote wa BMC wa kuongeza makali ya mgomo ili kuikumbusha serikali wajibu wake.

watu WASALITI KAMA DR ALEX resident mwaka wa 3 CUHAS tuwafanyeje?

WADAU NAOMBA KUWASILISHA
 
Wasaliti huwa hawakosekani popote, mwiteni mumweleweshe pole pole
 
Inavosemekana huyu jamaa ni chief resident (yaani kiongozi wa madaktari wanaosomea udaktari bingwa) wa magonjwa ya akina mama na aliteuliwa baada ya kuonekana kuwa na tabia ya kujipendekeza kwa madaktari bingwa. wadau wanasema hata tabia yake ya usaliti haijaanza leo na amekwisha onywa mara kadhaa bila mafanikio. madaktari walipanga kushut down huduma zote ili kuonyesha umuhimu wao na madai yao kushughulukiwa lakini yeye akavuluga

Taarifa za ndani zinasema hata operation anazofanya anafanya rough kwa kigezo eti anafanya siza kwa mda mfupi zaidi wakati anasababisha madhara kwa wagonjwa na wenzake wanamvumilia tu lakini hajifunzi..

kinachotia moyo wenzake amepanga kumshugulikia

ALUTA CONTINUA DOCTORS ili ccm ijue huu sio wakati wa mabavu..
 
Nimepata taarifa za uhakika kutoka BUGANDO mwanza kuwa madaktari wa bugando wanaoendelea na mgomo jana walikubaliana kuomgeza makali ya mgomo huo kwa kutoandaa ratiba za kazi kwa idara zote. na ilipofika asubuhi mmoja wa madaktari walioko katika mafunzo ya udaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi (OBSTETRICS & GYNAECOLOGY) alipoulizwa katika vikao vyao vya asubuhi maarufu kama MORNING REPORT MEETING kwa nini hakuna ratiba alijibu bila kuumauma maneno kuwa ni kwa sababu TUMEGOMA ndo mana hakuna ratiba mbele ya madaktari bingwa walokuwepo katika kikao hicho na madaktari wote wakatawanyika. huyu daktari ALEX kwa tabia zake za kujipendekeza kwa wakubwa ambao pia washachoshwa na hiyo tabia yake akakiuka makubaliano ya madaktari wenzake wanaoendelea na mgomo ili kuishinikiza serikali kutoa majibu ya mad#aiya maslahi yao akaenda kuandaa ratiba hvo akawa amevuruga mpango mzima wa madaktari wote wa BMC wa kuongeza makali ya mgomo ili kuikumbusha serikali wajibu wake.

watu WASALITI KAMA DR ALEX resident mwaka wa 3 CUHAS tuwafanyeje?

WADAU NAOMBA KUWASILISHA
Kila binadamu anatabia yake. Sisi huku Korea ikitokea mtu huyo anatupwa jalalani. Poleni sana maresidents wa Bugando. Lakini msirudi nyuma. Watanzania walioko huku korea wanawaunga mkono.
 
minashauri mama nyoni anapoondoka ofisini aondoke naye akampe kibarua maana wanafanana kitabia
 
Back
Top Bottom