Kwa hili JK katuweza

Sgaga

Member
Sep 28, 2011
76
13
Mambo ya msingi ambayo anatakiwa asimame mbele ya watanzania na kutoa tamko la nchi,mfn posho za wabunge yeye anakaa kimya na ikulu ndyo inamsemea.Lakini kuhudhuria kwenye vilio hadi vya makada wa ccm hatumi wawakilishi toka ili wamuwakilishe.Urais ni taasisi so movement yeyeyote anayofanya inahusu idara nyingi mno na shughuri nyingi zinasimama.Utafikiri kipindi cha Mkapa watu walikuwa hawafi bana aahhh inakera sna.
 
Sijakuelewa vizuri una maanisha nini, lakini haka kajamaa kana kera, huko Ulaya anakwenda kama msalani vile lakini kusimamia mambo ya msingi anamwachia Salva Rweyemamu
 
punguzeni wevu jamani j.k amefanikiwa kujenga accountability government
 
Sijakuelewa vizuri una maanisha nini, lakini haka kajamaa kana kera, huko Ulaya anakwenda kama msalani vile lakini kusimamia mambo ya msingi anamwachia Salva Rweyemamu

Kila mtu ana experience ya kazi anayofanya kwa kipindi fulani,
sasa Mh Dr kanali Jakaya Mrisho Kikwete(Presdent by now) alikuwa
waziri wa mambo ya nje kwa kipindi kirefu.ana uzoefu wa hali ya juu
kwenye hii wizara,ndo maana anaisimamia mwenyewe na mwenzake
anajiandaa kupokea kijiti.maana ndo wizara unayoweza kupata suport
na watu wa nje kwa urahisi zaidi.
 
rais msikvu,rais mpenda watu wake,chaguo la mungu.kaza buti jakaya maisha bora ambaye hajayaona ahame nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom